Sense.
Nimeshawah kusikia ushuhuda huu tena toka kwa watumishi wa Mungu kabisa.Mwanamke ali conceive akiwa na mtoto wa miezi miwili tu.Sasa kuficha aibu waka abort lakin iligundulika kwakua hawakua wazoefu wa mambo hayo ya manslaughter ..
Na mie nimecheka etiHahhahha usiniulize kwa nn nimecheka
Wengi wanatoa mimba lakini hawaonwi wanasemangwa wasioolewa tu kwa kua wako nje ya utaratibu lakini kwenye ndoa kuna vifo Vingi sana vya watotoKuna ukweli humu kabisaa
Hii ni kweli nimeshashuhudia haya kwa watu wanaonizunguka?
We umekuja na jambo lako nje ya madaNdio maana huwa nasema, ni Bora mtu mwenye wake wengi kuliko hawa wanaojifanya wanamilikiana wawili.
Ni wauaji balaa!!
Ukiwa zako na mwingine huna shida.
Huyu yuko hatarini unahamia upande wa pili.
We unazunguka tu. Nguvu zako ndio zinakuokoa.
Wazee wa zamani walikuwa na akili!!
Hahaaa...so ukikosea mimba ndii!!!mnashaurina kupanchi mashine!!daahh!Mungu hapendi jamaniHuwezi nunua mtego wa panya ukajua anaenda kupamba seblen wote wanajua kipi kimeingia kipi kimetoka mana wanaume hata uambiwe nipo kwenye siku mbaya unacho waza wakati huo ni game tu
Unaweka katika uchi ama sijaelewa?Miso ndo funga kazi haikopeshi hyoo!!!ukiweka imechomoka!!!ila zinauzwa kwa siri kama bange
Mie nimecheka na swali lako ujue acha akupe maujuziNa mie nimecheka eti
Atupe maujuzi mie sijui