Walio karibu na Heche mlindeni sana

Hakuna wa kumdhuru kwasasa kwani wataharakisha vikwazo vigumu kutoka kwa Trump na EU na pia safari yao ya ICC itarahisishwa.
Kila aliye kwenye mamlaka ya kidola wanafanya mambo kwa tahadhari mno tofauti na miezi miwili iliyopita.
Hao watu washaamua liwalo na liwe.
Movement ya Jana ni ya ajabu.
Labda damu inawafanya kuwa na mioyo migumu
 
Huyu jamaa huwa hakosei hata kwa Polepole alionya hivi hivi. HECHE chukua tahadhali kubwa sana, hawa maaramia hawajali chochote wala lolote. Umesikia kijana wangu usipuuzie mwanangu. Kukupoteza wewe ni hasara kubwa sana.
 
Sio alindwe, hakuna mwenye jeuri ya kumlinda dhidi ya dola..
Akae kimachale machale, aishi kijasusi jasusi..
Unadhani watu dhalimu wanashindwa kumpiga bomu yeye na hiko kikundi chake cha ulinzi, watu ni waroho wa madaraka kupitiliza.
Hii dola nayo ni dola katika dola duniani?

Gaddafi hakuwa na dola?
 
Wakati wa waTanzania ni huu mkuu 'macho'.
Hakuna tena kitakachozuia mabadiliko.
 
Exactly. Ni wananchi tu kufikia top. Kuamua. NA HAIKO MBALI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…