I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Dec 15, 2012 #1 naomba mnisaidie hawa watu wanoitwa maxcom afrika millenium tower wanahusika na nini
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 Dec 16, 2012 #2 Mim nilifika ofc zako wiki jana,walisema wanadeal na kuuza machines mfano kihesabu pesa.
S starson Member Joined Jul 29, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Dec 17, 2012 #3 maxcom ni wakala wanao uza mashine zinazo uza umemem vocha za mitandao yote ,malipo ya television mpesa na huduma nyinginezo
maxcom ni wakala wanao uza mashine zinazo uza umemem vocha za mitandao yote ,malipo ya television mpesa na huduma nyinginezo