nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,951
- 14,771
Naam nina mashaka makubwa sana na hawa ndugu zetu walio toka sauzi.
Hasa wale ambao afya zao hazijaharibika sana kwa madawa ya kulevya,
Hofu yangu kubwa ni USALAMA WA RAIA na MALI ZAO,
Kuna namna kwa wingi wao wanaweza kufanya jambo lisilofaa ndani ya jamii.
Zingatia hawa ni Ma ''STOWAWAY''....kumtoa mtu uhai na kukimbilia kusiko julikana kwao ni jambo jepesi mno.
Wengi wao wanatembea na laana,,,kimsingi ni viumbe wasio saidika.
AU KUNA WATU WANAWEZA KUWATUMIA.................ni wazo tu la kiduanzi!!!!