emmsim
Member
- Dec 7, 2017
- 68
- 46
Wazingua kweli!, Ndo bado tuko level io kweli!!HII MAANA YAKE NINI? MIKOA MINGINE HAINA ICTs KIASI KWAMBA WAMESHINDWA KUWEKA HATA KWENYE WEBSITE ZA HALMASHAURI AU MIKOA?
Wazingua kweli!, Ndo bado tuko level io kweli!!HII MAANA YAKE NINI? MIKOA MINGINE HAINA ICTs KIASI KWAMBA WAMESHINDWA KUWEKA HATA KWENYE WEBSITE ZA HALMASHAURI AU MIKOA?
Thanks alot ndugu, but fanya na shinyanga tafadhali Mana duuuh!! Nimeyasaka sanaPitieni hapa pia naona wanayaunganisha na ku update kila yanapotangazwa wilaya mbalimbali >>> MINISTRY OF EDUCATION: THE LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN FORM ONE 2018 - Kijiwe Cha Wasomi
Mwanza tayari mkuu pitia link hiyo hapo juuWeka mwanza
Shy vp mkuu?Mwanza tayari mkuu pitia link hiyo hapo juu
Mbona link ya manyara haifunguki
Umeona ee...Dodoma mji mkuu bado viongozi hawajui hata maana ya website.
Mnashindwa hadi na Simiyu... pumbavu
mkuu tafadhali kama una link ya Mkoa wa Tanga naomba tuwekee!Pitieni hapa pia naona wanayaunganisha na ku update kila yanapotangazwa wilaya mbalimbali >>> MINISTRY OF EDUCATION: THE LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN FORM ONE 2018 - Kijiwe Cha Wasomi
Mzee haya ni yawalomaliza mwaka janaYa mkoa wa tanga yakowapi jamani