Walinzi wa Rais hapa walifeli pakubwa sana

Walinzi wa Rais hapa walifeli pakubwa sana

Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?

Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?




View attachment 2710451View attachment 2710452
Kaka we mdogo kwenye hizi medani, Kuna ulinzi mkubwa saana hapo ambao we wakawaida huwez kuona.. kiufupi tu ukiangalia vizur hapo chini kwenye miguu yawachezaji Kuna kitu unaweza note baina ya rais na wachezaji wawili waliokaa kulia na kushoto kwake.. na waliosimama nyuma yake sema huwez kuona kwenye hii picha Kuna kitu nacho ungenote.. Kila tukio lililofanyika hapo limepangwa mwezi mmoja nyuma na Kila hatua unayoiona hapo usalama wake ni 99%
 
Kaka we mdogo kwenye hizi medani, Kuna ulinzi mkubwa saana hapo ambao we wakawaida huwez kuona.. kiufupi tu ukiangalia vizur hapo chini kwenye miguu yawachezaji Kuna kitu unaweza note baina ya rais na wachezaji wawili waliokaa kulia na kushoto kwake.. na waliosimama nyuma yake sema huwez kuona kwenye hii picha Kuna kitu nacho ungenote.. Kila tukio lililofanyika hapo limepangwa mwezi mmoja nyuma na Kila hatua unayoiona hapo usalama wake ni 99%
Tafadhali tujuze kidogo, kuna nini kati ya raisi na hao wachezaji wawili wa kulia na kushoto maana nimejitahidi kuangalia sioni chochote.
 
Ujuaji [emoji706]
Ujuaji [emoji706]
Ujuaji [emoji706]

Manina!
Mtu mweusi huamin mwenye mamlaka hakosei na ndio maana wapo wanashabikia swala la mkataba kisa limesinamiwa na serikali , ila kiukwel serikali zetu zina madhaif mengi sana , ni jeshi hili limewashindwa panya road , kaz ambayo ilibid waingize watu mtaani kimya kimya tuish nao wajue na mhalif na nan sio mhalifu , ila wao walipoona pany road wametulia na wao wakatulia kisha wakaibuka tena , na sss hv hatujui wakiibuka wataibuka na silaha zip panga zile zile au hata bunduki
 
Any way mtu Mwenyewe amejiita Piano man hizi sio level zake.Ulinzi ni uwanja Mpana sana aisee. Hapo hao wote walishachungunzwa tangu wanaingia nchini na mawasiliano yao.
Angalia kifo cha mwamba ujue hatuna ulinz hapo , mama hana maadui wa nje ya mipaka
 
HALAFU HUU UTARATIBU WA VIONGOZI WAKUBWA KUZIKUMBATIA SIMBA NA YANGA NI KUZIKOSEA HESHIMA TIMU ZINGINE

PIA INASABABISHA UDUNISHAJI KWA TIMU ZINGINE
Hizo timu nyingine sio zao, simba na yanga ni zao na ni nyumbani kabisa wanajiendea makati wowote.
 
Tunawezasema yote,lakini tukumbe mzee mwinyi alipigwa kibao hapa hapa
kwa kudhani kwamba ni amani.hivyo,ukiona watu wanakosoa hata kama unadhani wanaokosoa hawana taaluma
angali mantiki lifanyie kazi maana hakuna hasara kufanya hivyo.
Kuhujumiwa kwa Kiongozi kupo Dunia nzima na sehemu kubwa ni maarifa ya Wahalifu kuliko uimara wa mifumo ya ulinzi

tuna Ulinzi kuliko Marekani na Israel ambako Viongozi wao wakuu walipigwa chuma na wahuni (YitzhakRabina na Kennedy), the same to Benazir Buttoh aliekuwa PM wa Pakistan. hujui hata Rais wa Ufaransa kishakula kofi hadharani ndio uje ushangae Rais mstaafu kupigwa kofi na Mgonjwa wa akili?

Rais wa Afghanistan 2001 alipigwa bomba na Mwandishi aliemsogelea ampige picha kumbe ana bomu ,

Laurent Kabila alipigwa Bomba akiwa Ofisini kwake sambamba na Rais wa Haiti aliehujumiwa akiwa sitting room kwake anatazama TV

Rais wa Egypt kashughulikiwa akiwa kwny gwaride la Jeshi eneo ambalo pengine ndio salama zaid kwa hisia
 
HALAFU HUU UTARATIBU WA VIONGOZI WAKUBWA KUZIKUMBATIA SIMBA NA YANGA NI KUZIKOSEA HESHIMA TIMU ZINGINE

PIA INASABABISHA UDUNISHAJI KWA TIMU ZINGINE
Simba na Yanga ni zaid ya Klabu za Mpira

hutumika pia kama Rejeta kupoza Engine ikichemka sana

kuna Nyakati zinakuwa Spare tyre au Jeki kutegemea na hitilafu ya Motokari wakati husika


Mo na Manji walidhani kwa vipesa vyao wanaweza wakaruhusiwa kununua 'Mihimili' ya Serikali kiwepesi wepesi tu
 
Kozi yako ya VIP protection umeifanya Nchi gani
 
Rais wetu hayuko kwenye matishio makubwa hata akiamua atembee kwa mguu Kariakoo hadi buguruni hakuna atakaemdhuru labda atukanwe tu njiani kwa kuuza BANDARI
Anaweza Tekwa hata na Boda Boda akatoa masharti ya kipuuzi lazima yatimizwe ili awe Huru
Rais ni lazima Alindwe tuachane na hizi fiction
Angalia nyuma kulia Kuna jamaa kavaa Jessy ya simba ina badge kubwa ya red huyo ni mlinzi yupo 2nd roll.
 
Pana viwanja vya ndege ukishuka wala hautawaona watu wa usalama wakifata begi lako kukusechi ila jua hapo wamekuangalia hadi maeneo ya Mwili bado unaamini ulinzi ni mpaka uwaone wanaolinda aisee ndio maana Waarabu wanachukua Bahari...
 
Back
Top Bottom