Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?
Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
View attachment 2710451View attachment 2710452
mtoa mada ni mpumbavu tuNajiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?
Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
View attachment 2710451View attachment 2710452
Kama kila kitu mtakiona tu siyo cha kiusalama mtakua na utoto sasa,kwanza ulinzi siyo kusimama tu hapo,na Rais vile vile ni binadamu,sometimes maisha ya kawaida yanapita ndani yake na anakaa karibu na watu,mbona kina Obama kule America walikua wanaenda sokoni na magari binafsi na ndiyo nchi yenye uhasama na nchi nyingi duniani.Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?
Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
View attachment 2710451View attachment 2710452
SSH ndio anawaamuru hao usalama nini Cha kufanya na sio kwamba wao ndio wanamuongoza
Pengine huýo wa kumpiga ngumi hakuja kimichezo alitumwa..Rais huwa hana cha kuamua akiwa na walinzi wake anapangiwa atapiga picha na nani atasalimiana na nani na hao walishakaguliwa mpaka pumbu, kifupi tu kuna ka udhaif coz hapo mtu anaezampiga ngumi rais hadi akafa
Pengine hiyo 1% moja iliyobaki kama ikitumika vizuri inaweza kumu r.i.p our madame....si eti?Kaka we mdogo kwenye hizi medani, Kuna ulinzi mkubwa saana hapo ambao we wakawaida huwez kuona.. kiufupi tu ukiangalia vizur hapo chini kwenye miguu yawachezaji Kuna kitu unaweza note baina ya rais na wachezaji wawili waliokaa kulia na kushoto kwake.. na waliosimama nyuma yake sema huwez kuona kwenye hii picha Kuna kitu nacho ungenote.. Kila tukio lililofanyika hapo limepangwa mwezi mmoja nyuma na Kila hatua unayoiona hapo usalama wake ni 99%
wangemfanya nini kwa mfano? Hao walishafanyiwa check-up, walinzi siyo wale wanawake, wanaume wamejaa tu hapo kumzunguka rais. Wana usalama wetu wako makini wanayajua yote hayo na mengine usiyoyajuaNajiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?
Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
View attachment 2710451View attachment 2710452
utafikiri wanajua kila kitu, hata hawajasoma mkataba na kwanza wasingeuelewa, njoo sasa kila siku bandari yetu, mkataba ni mbaya, wamejitokeza watalaamu wamefafanua kifungu kwa kifungu bado watu mkataba mbovu, nyumbu km hawa anayeweza kuwaongoza ni mtu km Kagame siyo mwingine. Watakupotezea muda mwishoni watakuja tena kukuzomea. Ni wa kupuuzwa kazi iendeleeUjuaji 🚮
Ujuaji 🚮
Ujuaji 🚮
Manina!
unamwonea wivu? Kila mtu na bahati yakeNan ana shida naye kwani?🤣🤣Leo kaona amwegemee yule dogo kupata Kik mitandaoni,na kaenda ipost fasta kwenye akaunti zake za insta na Twitter
siamini ktk kutukanwa ila watamzonga kutaka kupiga naye picha, nchi yetu hainahayo mambo ya hovyo mpaka sasa.Rais wetu hayuko kwenye matishio makubwa hata akiamua atembee kwa mguu Kariakoo hadi buguruni hakuna atakaemdhuru labda atukanwe tu njiani kwa kuuza BANDARI
SawaAngekuwa Hana maamuzi asingekurupuka kwenda Kenya kimya kimya kupatanisha Ruto na Odinga Kisha Ruto akapuuza ujio wake
ushamaliza.. chukua[emoji257][emoji255][emoji253] yakoUlinzi sio kusimama nyuma tu, ulinzi unaenda zaidi ya hapo, huenda walishachukua tahadhari zote na wameamini yupo salama.