Walinzi wa Rais hapa walifeli pakubwa sana

Walinzi wa Rais hapa walifeli pakubwa sana

Ulinzi sio kusimama nyuma tu unaenda zaidi ya hapo nimeipenda hiiii safisana
Unaposikia usalama wa Taifa, jiulize kwanza chuo Chao kipo wapi?, ni aina gani ya watu huchukuliwa kwenye usalama wa Taifa?, kwa maswali hayo machache, naomba ujue kuwa Rais ni taasisi kubwa sana na ulinzi wa Rais kwa sasa hufanyika kwa mifumo ya kiteknolojia(Matumizi makubwa ya TEHAMA)
Walinzi unaowaona kwa macho hapo wanaendeshwa na aliye kwenye mfumo, ndiyo maana huwa wamevaa ear phone za mawasiliano ya kiusalama siyo kisikiliza mziki wa diamond
 
Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?

Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?




View attachment 2710451View attachment 2710452
sasa nani au nchi gani inaweza kumdhuru Rais wa hivi. Kifupi Samia hata atolewe ulinzi hamna nchi wala mtu mwenye time naye. Rais yupo yupo tu Nchi inapigwa watu wanavyotaka,hana alichofanya chochote nani amdhuru? kuna ile yuko na Simba yaani kama Nyoso angekuwemo lazima ingetokea kama Boko
 
Back
Top Bottom