Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,578
- 8,053
Punguza kuangalia movie .Anaweza Tekwa hata na Boda Boda akatoa masharti ya kipuuzi lazima yatimizwe ili awe Huru
Rais ni lazima Alindwe tuachane na hizi fiction
Angalia nyuma kulia Kuna jamaa kavaa Jessy ya simba ina badge kubwa ya red huyo ni mlinzi yupo 2nd roll.