enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,558
- 9,824
basi mwenyewe unajiona una akili kuliko wote!!!!!!! Acha ushamba na ujuaji wa kijinga. Kuficha ujinga ni hekima pia!!!!!!!Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi?
Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
View attachment 2710451View attachment 2710452