Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Niliona jana usiku Kigogo anasema Sabaya kapewa silaha na OCD Hai hawakujua zinaenda kutumika kwa kazi gani, kumbe ndio kazi yenyewe hiyo.

Huu utawala wa Magufuli ni laana kwa hili taifa.
Hadithi nyingi zinazomuhusu Sabaya ni uongo wenye mapembe.
Na kwa wakazi wa Hai wanamuona Sabaya kama mkombozi wao

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Nakuheshimu sana ila unajiaibasha siku hadi siku hivi mtu anaweza kuchoma office yake na ndani kuna document kadhaa eti anatafuta attention? Huoni watu hawana imani tena mpaka wanasema Nondo alijeteka hivi hiyo inakuja kichwani sasa nani hapo analeta hekaya za Abunuasi?
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Toka uandishi habari nguli hadi Ukanjanja njaa.
 
The end justifies the beginning. Destiny can not be reshaped. Mbowe remains a national icon.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Yaani wewe kazee unazeeka vibaya sanaa!
 
Walinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Hii siyo kitu nzuri.
JamiiForums1171215835.jpg
 
Watanzania tuache ujinga, hakuna ukombozi wowote unaotokea bila damu kumwagika never. Hata Mungu kuja kuukomboa ulimwengu na dhambi alimwaga damu ya Mwanae wa pekee Yesu ili iwe upatanisho na Mungu.
Sasa wao kila siku kulia lia tu, mnaenda mnamchukua huyo Sabaya au mke wake wake naye anatekwa ili naye akili zimkae sawa
Only a few degrees of temperature remaining to the boiling point.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Kuna watu kama hawa wanaojulikana kabsa, wanatakiwa wanatekwa ili waone kua hivi ni vita vya pande zote mbili. Maana akina Mayala na chama chake wanahisi wao ndo wana haki ya kufanya huo uhuni halafu wanakuja na propaganda za kusema kiki tu hiyo
 
B
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Braza Pascal Mayalla

Tumekuzoea. Busara zako zinakuletea madhara hata ukiwa ikulu. Wacha wenye povu walete tuoshee bajaji.

Kila la kheri kwa uchaguzi mkuu.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Hata wewe Pascal? Kwa nini upande wa pili wakiripoti matukio kama haya tunatanguliza mashaka kwanza?
 
Back
Top Bottom