godfrey Dalali
Member
- Feb 28, 2016
- 42
- 20
Du mafundi welding.... Wakiwa wanamaliza mafunzo...........Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Du mafundi welding.... Wakiwa wanamaliza mafunzo...........Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()
Yani utasema le mutuz kawaazimaMiwani kama Lemutuz
Hili lipicha mbona masura si yakitanzania kabisa
Umepaniki mkuuu pyeeee[emoji12]Eti red brigade!!! Red brigade my asss! Ni sawa na kile kipindi cha uchaguzi unakuta jua kali kweli ila jitu limejifunika mibendera ya chadema, kofia soksi ya chadema na liscarf shingoni linanyonga huku jasho kibao, alafu unakuta jitu linakusalimia kwa mzuka, PIPOOOOZZZZZZZ!!!!
Hovyo kabisa, sasa hawa wanavaa miwani za wale wa wielding! Dah, wenyewe wanaona wametoka kweli.
We ni UKAWA bila Shaka virobaaa vipiiiiiacha umbea wew, utakuja suntwa bure......mjin hapa
Huyo ni mlinzi wa walinzi. Teh!kuna mmoja kasimama kwenye ukuta. siasa hizi!
HII NAYO NI HOJA? HIZI MIWANI ZINA UHUSIANO GANI NA ULINZI ?\Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()
Heti vijana wa IT!IT my FootEti red brigade!!! Red brigade my asss! Ni sawa na kile kipindi cha uchaguzi unakuta jua kali kweli ila jitu limejifunika mibendera ya chadema, kofia soksi ya chadema na liscarf shingoni linanyonga huku jasho kibao, alafu unakuta jitu linakusalimia kwa mzuka, PIPOOOOZZZZZZZ!!!!
Hovyo kabisa, sasa hawa wanavaa miwani za wale wa wielding! Dah, wenyewe wanaona wametoka kweli.
Magamba mnatabu kwelikweli, haujui tofauti ya sunglasses na welding goggles![emoji23]Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()
Naona uko kwenye heat unatafuta basha kwa nguvu.Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()
Wanaua watu alafu wanasema NI serikali. Lissu wanamjua vilivyoHawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill
![]()