Walinichagua vipi wakati Sina sifa? Aaah this is too much.

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Kama kuna wahusika humu wanifafanulie.. Yani nirudi kijijini aaah... Sasa watanielewa Vipi wale niliowaacha.. Tcu niurumieni basi
 
Na wewe kwanini uliomba nafasi wakati kabisa unajua hauna sifa?
 
Miaka ya nyuma kiukweli walikuwa wapanga tu Bila kuzingatia vigezo cha kada husika afadhali hawa wa ndalichako watakuwa na nafuu maana joto la jiwe wamelipata

Ila fuata maelekezo walioyatoa itakuwa poa ebu komaa tu usilielie na malalamiko mengi
 
OK Mkuu
 
Back
Top Bottom