Walimu wenzangu tujuzane we umepangiwa wapi?

Karibun kigoma vijijin tuna a_level moja,mi nipo tokea 2009 disemba,graduate tupo wa4,nyarubanda high school,umeme sola ila usiku tu,naul buku 3,kigoma town,maji co poa sana,kuna nyumba tatu zimebaki,mimi kwetu dsm,ila napiga kazi,njoon mtusaidie mi mwaku huu naenda kusoma MA
 
inatia moyo watu muhimu wanapo farijiana na kukubali hili jukumu la kwenda sehemu mbalimbali za nchi hii kwenda kukomboa fikra za watanzania walio gizani hongereni WALIMU tunajua mazingira mfanyayo ni magumu ila uzalendo wenu ni kitu muhimu, pamoja na ukatishwaji tamaa wa hii nchi
 
thanks.laurence ile plana yako ya morogoro naona haikutimia dont lose hope,sina exposure na kigoma japo nina marafiki wengi huko,i advice u utakaporiti jaribu kustrive for maeneo yenye social service.nikipata data zaidi ntakujuza

Mkuu Polite asante sana jamaa angu kanifanyia ujanja lakn nmepata mdaummoja makini ntakujuza ikikaa poa mkuu
 
Nilkuwa namuomba sana mungu walimu mpate ajira, nimefurahi sana leo kuona mkiwa na furaha. Kuhusu maisha ya kituo ulichopangiwa wewe ndio mwamuzi ukiishi vizuri na watu (wanakijiji, wanamji) utayafurahia sana maisha na utafanikiwa. Mjiweke chini msiende kuonesha madoido na dharau kwa wananchi... ohooooo... matarushwa vichaa au wazazi wenu watapokea mwili. Nawaambia haya kwakuwa nimepitia haya maisha na ninafahamu.!

Cha mwisho, vijana wa kiume msiviharibu vibinti, mtapigwa visu [mkishindwa kujizuia muoe]

Nimefurahi sana leo wandugu
 
Duh, wosia huo, haya Mkuu!
 
Back
Top Bottom