Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,993
3,684
Nimekutana na hii "barua" mahali.Inavyoonekana muda si mrefu wenye vyeti "vya hapa na pale" wataanza kutafutana.

Likisimamiwa vizuri ni zoezi zuri na lenye tija kwa Taifa. Ila kwa upande mwingine tujiandae kwa "deficity" ya wale watakao "katwa".
88cdf1276e6cbbd71f5d6c9bfb41066b.jpg
 
Kama Anayetakiwa kusimamia naye ana cheti fake hapo inakuwaje ilitakiwa waanze na wasimamizi
 
Hii ikifuatiliwa itakuwa Gumzo kuliko watumishi hewa....hapa tu ninawajua ndugu marafiki na jamaa kama saba hivi ...
Mmoja ni nurse iringa..
Wawili ni walimu
Watatu ni polisi
Mmoja ni mkusanya mapato
 
Kazi hiyo hawawezi kuifanya kwa sababu itakuwa kitanzi kwao na jamaa zao wengi.
 
Back
Top Bottom