siyo hilo tu bucha,most of them,they even don't know how to prepare lesson plan and they ask dip holder to assist them.
Mtoa thread yuko sahihi, mm mwenyewe nmeshuhudia hiki kitu na pia kuna ndugu yangu nae kaniambia ivo ivoHizo ni tabia za watu binafsi hivyo huwezi kujumuisha. wote. Kama wewe ni mtata, mtata tu
kulingana nasela ya elimu mwl wa diploma anatakiwa kufundisha mwisho form two....sema tz hatuzingatii hayofani yangu sio mwalimu lakin kwa huu uzi serikali ndio inasababisha hali hii,haiwezekani mwalimu wa diploma au bachelor wafundishe wanafunzi walewale wa olevel then kwenye mishahara wa bachelor anamzidi wa diploma kwa kazi moja ileile
Watoto hawa hata adabu hawana, huwez waza kuhusu elimu, angalia uwezoha ha ha ha ha ha watoto ndani ya AJIRA na ulimbukeni wa kukopa kwa kawaida mitihani ya diploma ni tough sana kuliko test za BAED.
kweli kabisa..degree ni mchambuzi..analyst...so lasima ajue vitu im detail....kumbka matheory tunayosoma kule ni balaaWatoto wajinga sana ninyi nilishuhudia upuuzi wenu.
Sio Diploma au degree ualimu hauhitaji mawazo ya kipuuzi hayo.
Nionacho mimi hata mwenye bachelor unapowaza hivyo unashida pia.
bahati nzur walimu waliomaliza vyuo vya diploma kabla ya 2008 ni wenye uwezo
Na nawashughudia ktk idara mbalimbali wengi waumehama ualimu ni wazuri confident, sasa nyie form six 2004,5,6...chuo 2010,11,12...siwaelewi elimu nchini mnaidhalilisha siwaelewi mimi.
Diploma na degree tofauti ni kubwa. Degree ni analyst wkt ...
Diploma ni mtendaji. hamuwezi kuwa sawa.
Acheni u arrogant wenu