WALIMU BADO WAHITAJIKA.
Teachers junction (Teachers Networking Centre in Tanzania)
Ni imani yetu kuwa hamjambo na tunaendelea na jitihada za kujenga Taifa.
Kwa sasa tuna mahitaji ya walimu wafuatao.
1.Kwa post ya seriakli kupitia almashauri.
Tulifanikiwa kupeleka walimu watatu mmoja hakufanikiwa hivyo amerudishwa.
Physics and Mathematics (Diploma or Degree)
Awe mwenye uzoefu at least mwaka mmoja,sehemu ni mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mwalimu atalipiwa nauli ya kwenda,malazi na makazi ikiwepmo umeme na maji kisha kuingizwa kwenye ajira ya serikali baada ya mwezi mmoja baada ya kuridhika na mazingira.
English na somo lolote (Diploma or Degree)
Awe mwenye uzoefu at least mwaka mmoja,sehemu ni mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mwalimu atalipiwa nauli ya kwenda,malazi na makazi ikiwemo umeme na maji kisha kuingizwa kwenye ajira ya serikali baada ya mwezi mmoja baada ya kuridhika na mazingira.
2. Kwa private school Dar.
Diploma (English and Science)
Location ni Kimara mwisho,Mbweni na Kawe.
Salary not less than 490,000/=
Islamic,Arabic and Civics (Muslim with Grade A,Diploma or Six)
Loacation ni Tabata Kinyerezi.
Salary not less than 450,000/=
3.Kwa private School Coast.
Physics and ict (muslim with Diploma)
Location ni Kibaha (shule ya dini)
History,Geography,Kiswahili and Civics (Christian with Diploma or Six)
Location ni Mkuranga/Mbagala and Kongowe.
Teachers Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Mbeya Branch:
Near by Mzumbe University.
Phone: +255655-586906
Morogoro Branch:
+255783-810857 (soon)
Facebook page:
www.facebook.com/teachersjunction
Blog: www.https://jamii.app/JFUserGuide.blogspot.com
Email:
teachersjunction@hotmail.com
Pia unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate updates zetu zoote
(Hakika kwake tunaamini maana anaona,kutenda na kufahamu yale tusiyoweza)
Teachers junction JOB IN REALITY