Yaaah ni vizur sana et kwan sio kwamba unaenda kusoma ili uajiriwe tu tunasoma ili tuongeze maarifa ili tuweze kujikwamua kimaisha nahisi hiyo ni njia ya kutafuta mitaji tu naamini wakipata mitaji ya kutosha wataendelea na biashara zao na kufanya mambo mengine makubwa tu ambayo yatakuwa na tija kwa Taifa ,nakwambia hiyo biashara wanayofanya itawalipa zaidi kuliko wangeenda kulipwa mishahara miduchu yenye makato kibao, kama wakiwa makini ndani ya miaka mitatu watakuwa mbali Sana na ukiwadokezea swala la kuajiriwa wanaeeza kukuona unawaeleza kitu ambacho hakiingii kwenye akili zao, waendelee kupambana watatoka tuu, me pia ni graduate sasa hivi nafanya biashara zangu sitaki kusikia kitu kinachoitwa ajira tena