gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Habari wakuu,
Kama inavyojulikana, serikali kupitia Prof Ndalichako, iliweka wazi kuwa haina mpango wa kuajiri walimu wa masomo ya sanaa kwa sasa.
Katika pita pita zangu, nilikutana na walimu wawili wa sanaa wakiuza mitumba ya kike baada ya kuona ajira zimekua ndoto
Walimu hao walionesha kukata tamaa ila walikua wakijipa moyo kuwa watafanikiwa.
Hata hivyo niliwatia moyo na kuwapongeza kwa hatua walioamua kuichukua...