Walimu watangaza mgomo

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeipa serikali mwezi mmoja kuanzia jana, kuwalipa Sh13 bilioni wanazodai walimu vinginevyo itatangaza mgogoro utakaosababisha walimu kugoma nchi nzima.Hatua hiyo inatokana na kikao cha dharura cha baraza la taifa la CWT, kilichofanyika wiki hii mkoani Morogoro ambacho kilijadili matatizo ya walimu.
 
Safi sana hela za posho wanazo za kulipa malimbikizo mpaka watu washikane !
 
Ahhh!walimu siwaamini sana na misimamo yao wakidanganywa kidogo wanalegea.Haya Serikali lipeni stahiki za wenyewe
 
Kuanzia vyuoni hadi kwenye ajira mwalimu ananyanyasika,haijalishi unasomea shahada,stashahada,grade A au nasari,kwanini walimu wanadhalilishwa jamani???kwanini hawasikilzwi hawa watu,kwanini walimu wanaonekana hawana maana,walimu wa sasa wasiwe kama wa zamani.......walimu wa sasa ndio wa kuubadilisha huu udhalilishaji......SHIME WALIMU
 
Labda wakati huu watakuwa na msimamo lakini waalimu si wa kuwaamini,wanarubunika kienyeji mno.
 
Acha waumie kwa ujinga wao.
 
nadai miez 8..........salary!!!
nadai posho ya training South Afrca
....mwez mmoja
JUMLA MILION TATU..... FUUUKKYY U WZARA YA ELIMU
 
mo%2Bwalimu%2B10.jpg
mo%2Bwalimu%2B9.jpg

Mwandishi HIllary Shoo anaripoti kutoka Singida kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mohammed Dewji (MO) amewashangaza walimu wa shule za Msingi Manispaa ya Singida pale alipowapa posho ya shilingi 50,000 kila mmoja wakati wa hafla fupi ya kuzungumzia changamoto zinazowakabili walimu hao.

nadai miez 8..........salary!!! nadai posho ya training South Afrca....mwez mmojaJUMLA MILION TATU..... FUUUKKYY U WZARA YA ELIMU
mimi baada ya kugraduate nikaona nisiende serikalini kufanya kazi......nikikumbuka nilivohangaikia shule yangu,sitaki kumtukana mtu wizarani,wizara ilinipanga KIGOMA,sikwenda.......hadi leo rafiki zangu hawajaanza kulipwa,wapo ambao hata posho zao hawajapewa.......yaani...........mi huwa nawaambia kuwa WATALIPWA MALIMBIKIZO WAKIMALIZA KUFANYA KAZI,LAKINI SERIKALI ZA AWAMU YA 2;3,NA YA 4 HAWANA MPANGO NA WALIMU
 
Hawatagoma,japo kuna damu changa kutoka VYUONI,hasa various universities,lakini hakuna wa KUGOMA,na hawatalipwa ng'o,sitaki kuja kufundisha kwa kudhalilishwa
Ahhh!walimu siwaamini sana na misimamo yao wakidanganywa kidogo wanalegea.Haya Serikali lipeni stahiki za wenyewe
 
mo%2Bwalimu%2B10.jpg
mo%2Bwalimu%2B9.jpg
Mwandishi HIllary Shoo anaripoti kutoka Singida kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mohammed Dewji (MO) amewashangaza walimu wa shule za Msingi Manispaa ya Singida pale alipowapa posho ya shilingi 50,000 kila mmoja wakati wa hafla fupi ya kuzungumzia changamoto zinazowakabili walimu hao.
kwani huyo Mo hajui changamoto za walimuu??????nyambafu
 
Kuanzia vyuoni hadi kwenye ajira mwalimu ananyanyasika,haijalishi unasomea shahada,stashahada,grade A au nasari,kwanini walimu wanadhalilishwa jamani???kwanini hawasikilzwi hawa watu,kwanini walimu wanaonekana hawana maana,walimu wa sasa wasiwe kama wa zamani.......walimu wa sasa ndio wa kuubadilisha huu udhalilishaji......SHIME WALIMU

Kwa uchungu na kwa kutambua umuhimu wao niliwakumbuka..........

CONFESSION:
What is it?​
Slavery, toil or servitude?​
Every day before sun rise,​
My mother takes a bag,​
My father a bicycle,​
On their way to the academy:​
The 20[SUP]th[/SUP] year with seven kids,​
On bare feet:​
And single meal,​
Without even a second - hand Volkswagen.​
Toiling for a monthly salary,​
Which is to be paid on 45[SUP]th[/SUP]:​
Each month​
Every evening come back home,​
So tired and exhausted to play with us, their kids;​
With a dry cough,​
From the dust of chalk.​
And happier faces,​
Made old by the hand to mouth budget,​
And inferior thoughts;​
Of being valued as the mirror of the society,​
While paid ten times less than the Profs.​
Who were taught by them;​
And confused thoughts,​
Of being accused;​
Of scandals,​
And awful words of the landlord,​
The DED's. P/S.​
Oh! Teaching;​
What is it? ;​
Is it a profession?​
Or a call?​
Books and exercise books,​
Not for sale,​
Is written on the covers,​
Where can they sell chalks?​
More pay is given to them: Representatives.​
Who can't shout,​
Even the /a/, /e/, /I/, /o/, /u/.​
And who are access to it.​
No water, no house, no electricity​
School fees for their kids; Not yet​
If they take some from the MMEM​
Are jailed'​
50 yrs in prison without an excuse,​
While ministers,​
Sell we, to the jollies,​
Yet, they force us to support them:​
Today no chances,​
For their sons and daughters​
To the UDSM:​
They need them to be also teachers,​
And die in chains​
Of worthier minds;​
And mud of poverty.​
Because they like to educate others,​
Make them strong and famous,​
But us; bow before them and take chalks​
To the class:​
Happier, waiting for death,​
Without enjoying our gratuities​
After retirement,​
Crying with our T.T.U​
The toothless one.​
Now;​
The 30[SUP]th[/SUP] year in service,​
My mother with seven pairs of spectacles,​
Almost blind:​
My father;​
Serious in bed,​
Attacked by chalkiosis,​
We; sufferers: to save them,​
Because,​
Had no school fees,​
To make us all teachers,​
Like them:​
O God, for how long will you let,​
Teachers suffer?​
Cc 2005​
 
Labda wakati huu watakuwa na msimamo lakini waalimu si wa kuwaamini,wanarubunika kienyeji mno.

Hata uoga baadhi yao wanao pia. Wanatakiwa kuwa makini sana kuungana kwa pamoja na kauli moja wapotetea haki zao vinginenyo mmmmh!
 
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeipa serikali mwezi mmoja kuanzia jana, kuwalipa Sh13 bilioni wanazodai walimu vinginevyo itatangaza mgogoro utakaosababisha walimu kugoma nchi nzima.Hatua hiyo inatokana na kikao cha dharura cha baraza la taifa la CWT, kilichofanyika wiki hii mkoani Morogoro ambacho kilijadili matatizo ya walimu.

walimu wa Tanzania ni sehemu ya chanzo cha matatizo ya nchi hii: leo wanalia-lia madai, kesho wakipewa dili ya kuwa mawakala wa ccm kwenye uchaguzi kwa ujira wa 30000 kwa siku basi wanahisi wako peponi.

i don't trust them, ever!

sasa hivi wanatishia kugoma kwa sababu tu viongozi wao wameishiwa pesa; wanaitishia serikali ili wahongwe na mgomo wenyewe utausikia kwenye bomba tu.
 
Mkulu si angeahirisha safari hizi za mwisho tu, ingetosha kulipa hizo bilion 13
 
Hawa walimu wachovu sana. Hawana maana, maneno mengi, kazi kidogo. Fanyeni uamuzi unaoeleweka. Kama ni kugoma gomeni mpate haki zenu. La sivyo; fanyeni kazi kwa bidii kwa maana ualimu ni wito. Kuna baadhi ya walimu ni waoga kweli kudai haki yao. Lakini wa kwanza kukinga mikono. Haki hupatikana kwa ncha ya upanga; haiji hivi hivi.

My take: Walimu wote tafuteni zenu hata kwa ncha ya upanga. Kama hamuwezi chapeni kazi kwa bidii, na Mungu atawalipa.
Mimi huwa sina imani na walimu katika kutafuta maslahi yao wepesi sana kurubuniwa.
 
Sidhan km zoezi zima la walimu kugoma litafanikiwa coz walimu wenyewe hawana umoja."Unity is power and together we can shout"ualimu isije kuwa n ndoa ya kudumu mnaweza mkaachana nao mkaingia hata kwenye siasa na km hamuwez bas komaeni kigumu na mfanye kaz kwa bidii na mungu atawalipa.
 
Kumwita mwalimu mjinga ni sawasawa na kuwatukana wazazi wako,unafikiri wangegoma wasifundishe kwa mwaka mmoja watoto wako wangesoma wapi? Au na wewe ni fisadi?
Narudia tena walimu ni wajinga
mtu unadai malimbikizo ya mshahara kwa miaka kumi na bado unaendelea kuingia darasani kama si ujinga ni nini.
 
Back
Top Bottom