Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,157
- 2,268
walimu wa shule za msingi ambao ndio wengi zaidi wanatuumiza sisi wa sekondarikwa uoga wao na undumilakuwili wao sijui ni elimu finyu au sababu wengi wanatumia vyeti vya marehemu sijui afu wanarubiniwa kipuuzi anadai laki nne analipwa laki na hamsini anaridhika afu wanasitisha mgomo huku wenzao hatulipwi ila this time huu mgomo unaokuja TUTAWACHAPA bakora believe it hasa hasa wale wamama wa ''sisi enzi zetu'' tutwatumia na wale wanafunzi wetu wakorofi na a level ktk hili tushaanza stratergy muwaambie kabisa walimu wa primary awamu hii ya mgomo bakora zitawahusu wakileta umaandazi wao