Walimu wapya wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna

nitashukuru
 
Kama kwenye website moe hayapo, usiwe na shaka. Bado hawaja release.
 
Bado kijana nadhani watatoa pamoja na wale waliomaliza vyuo.
 
Back
Top Bottom