haaaaaaa du mm ni mwalm but mnanichekesha hsa ukizngatia mie ni mtoro mpka najiogopa
Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri
Lakini jamani tunapofikilia kero wanazozipaya walimu tucwe na maamuzi ya jazba coz kila kitu kinautatatibu wake wa kifanikiwa so nashauri jaribuni kuyapeleka haya matatizo yenu kwenue ngazi stahili coz yawezekana mkafanikiwa kutatua tatizo hili, huu n uongozi mwengine, alaf kama ukisema uwaache hao wanafunzi mtakuwa mmewafanyia dhulma ebu fikiri kama wewe ungeliachwa ungelikuwa mwalimu.
lakini jamani Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TU. Sasa tutatekelezaje haya kwa kuwa watoro KAZINI ? Bora hata aliyeshauri kukopa benki na kuanzisha biashara.
Very true,watu wameunga unga wakamkuta tu walimu ukiwaambia kugoma wanaona unawataftia balaa
Mwalimu anaelipwa mshahara laki saba,amesoma miaka mitatu degree,nurse anaelipwa laki tisa amesoma miaka minne na yuko exposed na maradhi kadha wa kadha mule hospitali lakini mwalimu yupo hapa analia lia sana kuwa anaonewa
Acha kufundisha,elimu is unayo nenda kafanye mambo mengine
yaani mwalimu unakuwa unadai haki yako lakini jamaa wanakuchukulia kama tahira fulani hivi, nimestuka..............serikal inaweza ikawa iko safi ila wanaoharibu na kuleta kero kwa walimu ni watendaji wazembe ambao wanafanya kazi kwa upendeleo wanapandisha madaraja na kulipa malimbikizo wanapojisikia ila dawa ni nusu kazin na nusu mtaani watanyooka tu.
tatizo kubwa la baadhi ya waalimu ni kwamba walipata sifuri na baadae wakatumia vyeti vy ndugu zao kusomea ualimu, kwa hiyo hata uwezo wao ni mdogo sana.kumbe mwalimu ana angalau kuliko nesi.
Mwalimu katumia muda mfupi kusoma, pia ana muda mwingi wa kufanya mambo binafsi; tofauti na nesi anayeshinda na wagonjwa kutwa, ikibidi analala kazini.
Mi ningekua mwalimu, nisingelalamika wakati nina muda wa kutosha kufanya mambo binafsi.
Hao watumiaji vyeti feki watakuwa wameenda wapi?mkuu .ikawezekana wanaendelea kuongezeka
Wanastaafu, siku hizi sio rahisi tena kama ilivokua zamani kufanya ujanja ujanja
Kwa hiyo mkuu unamshauri asiwe responsible kwenye kazi yake sio?
lakini jamani Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TU. Sasa tutatekelezaje haya kwa kuwa watoro KAZINI ? Bora hata aliyeshauri kukopa benki na kuanzisha biashara.
Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri
kumbe mwalimu ana angalau kuliko nesi.