Ww acha mambo yako ya ajabu!!Waalimu wamepuuzwaa miaka na miaka hio ni DHULUMA TOSHAA!!Mimi hapa tangu nikiwa sekondari nilikua nikiyasikia malalamiko ya waalimu!!Sikua na jinsi.nikaingia hukohuko baada ya kuhitimu pale Mlimani!!2014,,nimeajiriwa Mei 2015 nmekaa miezi mi4 bila mshahara ile hali nilkua na vigezo vyoote na vyeti vyoote!!Nimeanza kuambulia kimshahara kimoja mwezi wa.9 baadaa ya kufatiliaa saaaaaanaaa!!!Na hadi napoandika komenti hii kuna watu nimeajiriwa nao wakati mmoja ila mpka leo hawajapata check namba wala mshahara! Hata ile pesa ya kujikimu imeshatafunwa !!ile hali wenzetu baadhi walianza kupata mshahara mwez wa 5 uleulee!!
Mbona Wanajeshi,,mapolisi,,madaktari au mainjinia,,au maafisa utumishi hawafanyiwi upumbafu huu??
Jibu lipo palepale hakuna mtu anaejali Kada hii ya ualimu ...imekia ikidharaulika kila leoo...hapa nlipo nadai mishahara ya miezi mi 4 kulipwa ni majaliwa,,kwa sabab kuna mwalim nmemkuta hapa kituo changu cha kazi aliajiriwa 2012 nayr anadai malimbikizo hadi leo hii!Alafu unqjidanganya HAPA kazi tu??Haiwezekani elimu ikapanda kwa namna hio!!Ndo maana waalimu wanakosa hata moyo kufanya kazi na.ndio chanzo cha ELIMU KUPOROMOKA KILA LEO!!