kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,708
Ni maamuzi yake mimi nimefanya hivyo,ni mhimu kuwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,kosa la kwanza ni kuwa mwalimu,sio vizuri kurudia kosa,tumia muda mwingi kuwekeza kwa kutumia mshahara wa ualimu,maisha yatakuwa poa sana
usilete hoja mfu ya kwamba ukiwa mwlm ni kosa.{Labda ktk fikra zako ambazo ni hasi},
kila kazi inachangamoto zake cha msingi ni
kujipanga vizuri ktk utumishi wako.