Walimu wapewe posho ya kufundishia

Walimu wapewe posho ya kufundishia

nimefuatilia huu mjadala, nimeelewa kama ifuatavyo: wanaotetea walimu wawe na moyo wa wito ni wanawake km id zao zinavyoonesha sbb wao hawabebi majukumu ya kifamilia kwa 100% sbb mume yupo hivyo kale kamshahara kake kaambiwa atumie kwenye cosmetics na viwalo vyake vya kujia kazini(shuleni),mfano km evelyn salt et al. wale majemedali km mm huwezi kuniambia ualimu wito ikiwa nina familia tatu zinanitazama i.e familia yangu, ukweni na kwa wazazi walionilea!! Hivyo walimu wale wenye kujitambua km mkuu ipululu, adam gela, n.k tusibishane na walimu wasiojitambua, wapo kwa ajili ya kutumikia tumbo, cosmetics, pamba na vingine km hivyo. TUPIGE MISHE NA MAMBO YAENDE KWENYE MSTALI!!
 
ganzi ngumu uko sahihi kabisa mke wa boss hawezi kujua ugumu wa ualimu,ila mimi mwanaume naishi Dar es Salaam ndio najua kuwa pesa ya mshahara haiendani na kiwango cha gharama za maisha,halafu nitaachaje kazi wakati nimepoteza muda mwingi kusoma hadi Chuo kikuu,kama kuna mwalimu mwanaume anaishi Dar atajua kuwa ametelekezwa,kweli walimu wengi ni malofa,wajinga na magumashi hawana sifa ya ualimu hivyo wana hofu ya kukaguliwa
 
Last edited by a moderator:
Mishe upige na majukumu utekeleze, kama unuona ualimu michosho achana nao ukapige Mishe.... Hakuna kazi isiokua na changamoto

Umenena vema dada,sio lazima uwe mwalimu kama huwezi kuwa responsible.Acha ukafanye kitu kingine unachohisi kina heshima na maslahi

Magumashi ambao hawajapoteza muda wa kusoma utawajua tu na ndio wanachangia kukwamisha juhudi za walimu wengine,mtu hulipwi nauli ya likizo,hakuna posho,scale ya mshahara ndogo,hupandi daraja,unastaafu na daraja la ajira,kazi ngumu ndio unafikiriwa mfano sensa,nk,,kweli adui wa mwalimu ni mwalimu ni shida

mkuu Ipululu hao ndo walimu wasiojielewa.safi sana kwa kutelekeza wanafu..nzi kama mlivyotelekezwa.
 
Last edited by a moderator:
nimefuatilia huu mjadala, nimeelewa kama ifuatavyo: wanaotetea walimu wawe na moyo wa wito ni wanawake km id zao zinavyoonesha sbb wao hawabebi majukumu ya kifamilia kwa 100% sbb mume yupo hivyo kale kamshahara kake kaambiwa atumie kwenye cosmetics na viwalo vyake vya kujia kazini(shuleni),mfano km evelyn salt et al. wale majemedali km mm huwezi kuniambia ualimu wito ikiwa nina familia tatu zinanitazama i.e familia yangu, ukweni na kwa wazazi walionilea!! Hivyo walimu wale wenye kujitambua km mkuu ipululu, adam gela, n.k tusibishane na walimu wasiojitambua, wapo kwa ajili ya kutumikia tumbo, cosmetics, pamba na vingine km hivyo. TUPIGE MISHE NA MAMBO YAENDE KWENYE MSTALI!!
mkuu nimekuekewa sanaaaaaaa!!!
 
Haya walimu mliosoma, mnaojielewa mie hata shule sijakanyaga natumia cheti cha marehemu babu, msiende kufundisha kaeni nyumbani mtapanda madaraja, mtapandishiwa mshahara, na teaching allowance mtapewa
 
kuna umuhimu wa kumpeleka mwalimu bungeni akapiganie haki za walimu

Alieshiba hamjui mwenye njaa, magreth sita kabla ya kuwa waziri wa elimu alikua mwalimu, wakati wa uwaziri aliwafanyia nini walimu? First lady alikua mwalimu kipindi chote cha ufirst lady kawafanyia nini walimu,humo bungeni hakuna ambao walianzia kwenye ualimu? unadhani mwalimu mmoja ndo akienda bungeni atapaza sauti?labda lakini.....
 
Walimu kudai maslahi mazuri ni haki yao.

Sio tu haki ila ni haki ya msingi, sasa unadhani mwalimu mmoja kuacha kufundisha ndo haki itapatikana? Atleast wangerise swala la mgomo inaingia kichwani kwa sababu mgomo wa wengi impact yake inaonekana na hapo tunaweza tekelezewa ila hili swala la mtu mmoja kuacha majukumu eti mshahara mdogo hata haiingii....
Halafu wasomi kwenye discussion muhimu kama hii huwa wana argue kwa hoja, sio porojo
 
Mi ushaur wangu ni kukopa ikiwezekana anzisha biashara na fundisha kadri ulipwavyo chuoni kwetu tunaiita(fUKU),serikali imesahau sana watu tunaoitwa walimu.....alafu uoga wako ndio umasikini wako usiogope mtu maana utakomaa na chaki siku ya mwisho unaambulia TB,
 
"walimu tuna hali ngumu"(walimu),tutazua kitim tim(walimu),katika wizara ya elimu(walimu).......hu wimbo mnakumbuka ni wa mwaka gani?? Sasa tokea kipindi hicho walimu wanalalamika leo hii unasema suala lipelekwe mahala husika????? Mxieeeeewwwwww sasa mi nasema nafundisha kadri nnavyolipwa nalipwa kidogo nafundisha kidogo(via mgomo barid a.k.a tokomeza 1 ongeza 0)
 
Mimi Mhandisi, kazi yangu ya msingi ni kufanya design kwenye building services, pamoja na kusimamia installation. Lakini nafanya design na kuandaa BOQ, naandaa drawings (kumbuka hii kazi ya draftman), naandaa tender documents na kubind, naenda site kufanya inspection na usimamizi wa kazi, naandaa contract documents na mengine mengi tu. Kwahiyo hakuna sababu za kulialia. Cha msingi hata hao wabunge wapunguziwe hayo malipo mengi mengi. HAPA KAZI TU!
 
unalipwa sh ngap?
 
mnanivunja moyo wakusoma hii special diploma ya ualimu wa science & hisabati KAMA NDO MNAMATATIZO LUKUKI HIVYO!!
 
SOLIDARITY FOREVER kauli mbiu iliyokosa uhalisia.Mgomo ukitangazwa,walimu haohao wanauharibu kwa uoga.Refer to Madam Mary Masambuka wa filamu kali ya Sarafina ili morale ipatikane.
 
Mgomo wa walimu Tz hii utawezekana baadae sana tukibaki walimu pure, wale wanaotumia vyeti vya watu wakiwa wameshaishia ila for now sidhani....kuna mwalimu mmoja ni mkuu wa shule hukoo bush nilipoanziaga kazi yule mkuu hata form four hana sasa huyo ukimwambia kugoma si unatafuta ugomvi teh
 
Nyumba iliyogawanyika haiwezi kusimama.
 
Back
Top Bottom