Walimu wana maisha magumu sana

Walimu wana maisha magumu sana

Kuna mwalimu mmoja mtu mzima ambaye kwa sasa ana miezi mitatu tangu astaafu alituambia kwamba ukisaini tu kufanya kazi ya ualimu utakuwa umejitakia mwenyewe umasikini wewe na kizazi chako
Duh kama kuna kaukweli hiv nimepanga kwa mwalimu mstaafu kuna vitu naviona.
 
Ukiajiriwa kwenye wizara yeyote ambayo mishahara inatoka direct serikalini huoga njaa nikali sana sio walimu tuu Sasa sijui kwann 😂 😂 😂
Humu watu wengi hawajui kitu ni ushabiki tu

Walimu wapo wengi mtaani ndio imekuwa kama sample
 
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Hakuna walimu waliokuwa wasafi?

Wote walikuwa wanakula mihogo?

Mwalimu anashindwa kununua kitana cha 500? Anashindwa kunyoa 1000/1500?

Kuwa mkweli basi, walimu Wana njaa ila sio kwa kiasi hicho
 
We unaumwa nenda ukatibiwe, hao watakuwa walimu wa misukule ya kwenu
 
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Kitu usichokijua huko mtaani Kuna watu wengi Wana njaa wanatamani wapate kazi ya ualimu angalau mambo yaende

Ajira zilizotoka karibuni Kuna watu wengi wamesoma program za biashara chuo wakitegemea wakafanye kazi kwenye mabenki /makampuni nk ila mwisho wameomba ualimu na wengine wamepigwa panga

Kuna watu wengi wamesoma na wengine wanasoma postgraduate ya education baada ya kumaliza degree zao mbalimbali

NB
Walimu wenye maono wanafanya maisha na wamewazidi mbali watumishi wanaolilpwa zaidi yao, ni nidhamu tu na malengo
 
Hakuna walimu waliokuwa wasafi?

Wote walikuwa wanakula mihogo?

Mwalimu anashindwa kununua kitana cha 500? Anashindwa kunyoa 1000/1500?

Kuwa mkweli basi, walimu Wana njaa ila sio kwa kiasi hicho
Kweli mkuu huwezi amini.
 
Wekama unaweza kupambana mtaani ukaingiza hata elfu 15 pambana tuu ajira sio Dili skuizi ajira zipokisiasaa mtuu mwenye diploma ya civil eng.analipwa laki tano Sasa ujiulize huo ufundiwake huenda kazidiwa hata na polisi na mwalimu 😂😂
 
Back
Top Bottom