Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
Mikopo Bank NMB, NBC, CRDB ukienda ukisema tu mimi Mwalimu unaelezwa utaratibu wa kukopa haraka sana tena pesa nyingi tuSema baadhi ya walimu wasio na nidhamu kwenye mipango ya matumizi ya pesa ndio wenye hilo tatizo
Wako walimu kibao wana.magari binafsi na majumba hadi ya kupangisha na biashara na watoto wao husomesha English medium
Heshima kwenye matumizi ya fedha ndio kigezo kikuu kinachotofautisha hali walimu