mshahara hawaongezwi na kila mchango wanawachangisha wao.Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.
3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.
NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Hapo ndipo namwelewa Jesus aliposema aliye nacho ataongezewa na asiye kuwa nacho hata kile kidogo alichonacho kitachukuliwa.