Walimu wana maisha magumu sana

Walimu wana maisha magumu sana

Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Mpwayungu Village amerudi kivingine
 
Mleta mada naomba nisaidie mwalimu mimi nipate kazi nzuri.Nina shida sana.
 
Wanawashinda walinzi ambao hubeba vipolo kwenda navyo kazini, bado mishahara yao wanapokea tareh arobaini na tano( 45) sibora hao walimu wanapokea mishahara mapema kabisa mwa mwezi ila ukiona mwalimu yupo rough basi huyo haipendi kazi yake
 
Sema wengi wanamikopo benk,na hii inasababishwa na mishahara kuwa midogo na ualimu ni kazi isiyo na marupurupu.
 
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Hongera mkuu, japo umepondea lakini dhamira yako ni nzuri sana Kwa walimu wetu, Kuna kitu serikali inatakiwa ifanye Kwa walimu wetu, kazi Yao tunaiona na kuiheshimu, inafaa nao wathaminiwe Kwa kuheshimiwa na kuongezewa kipato ktk mshahara wao.
 
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Walijichagulia wenyewe kuishi maisha ya hovyo, fani za kusoma zilikuwa zipo nyingi ila wakaona ualimu mserereko wakatumbukia humo mazima.
 
Back
Top Bottom