Walimu wana maisha magumu sana

Walimu wana maisha magumu sana

Haijalishi unafanya kazi gani nidhamu ya pesa ndiyo ndiyo itakayofanya uishi maisha bora.
Mkuu fafanua kidogo hapo kwenye nidhamu ya pesa kwasababu walimu wametajwa na mdau kwamba awatumii pesa kwenye Matumizi yasiokua na tija, labda ingekua walimu wanaonga sana walevi ndiyo tungesema wana nidhamu mbaya ya fedha, kama Mtu anunui nguo mara kwa mara na viatu na simu, na anaishi kwenye Nyumba ya gharama ya chini mtu kama huyo anakua hana nidhamu na pesa?
 
Ni kweli mkuu, kuna mwalimu jirani yangu anabeti mpaka laki tatu, kukicha anakuja kukukopa elfu kumi ya mboga nyumbani .
Ku-bet ni addiction kama zilivyo addictions nyingine. Huyo anahitaji tiba na counselling. Hata wacheza mpira wa vilabu vya premier league wana uraibu huo wakati wanatengeneza mamilioni ya pesa kwa week.
 
Sio wewe pekee mkuu,binafsi asilimia ya walimu niliowaona wana maisha mazuri ni weng kuliko hoehae,na hoehae wengi utakuta ni wale walimu walevi labda au malaya..Ila walimu wengi naona wana matrekta,mashine za kusaga,maduka,vibanda vya tigopesa nk sijajua umaskin unatokea wapi
Namshangaa mleta post ameona mwalimu mmoja anajumuisha wote, kumbe kuna watu wako mbali sana kimaisha.
 
Trekta ni milioni 45 Hadi hamsini likiwa limekamilika Kila kitu.mwalimu wa shule ya msingi analipwa laki Tano au saba bila marupurupu yeyote.hata ukisema akope atakopa milioni 15au 20 labda anunue trekta mkweche ambao Kila mara matengenezo.Katika walimu miatano wa shule ya msingi anaweza kupatikana mmoja ambaye amenunua trekta
Fikra zako ni finyu, huwezi kurupuka ukanunua trekta mwaka mmoja, lazima uanze kwa kuwekeza kidogokidogo, unalima alizeti, ufuta , mbaazi nk. Pia unanunua mazao na kuweka stock. Sio kutegemea mshahara huohuo tu.
 
Kuna mwalimu mmoja mtu mzima ambaye kwa sasa ana miezi mitatu tangu astaafu alituambia kwamba ukisaini tu kufanya kazi ya ualimu utakuwa umejitakia mwenyewe umasikini wewe na kizazi chako
Sio kwel mzee, nenda mashulen sikuhz utakuta gar kali za walimu, nyumba kali wanaishi,hao walimu wa zamani.
 
Mkuu fafanua kidogo hapo kwenye nidhamu ya pesa kwasababu walimu wametajwa na mdau kwamba awatumii pesa kwenye Matumizi yasiokua na tija, labda ingekua walimu wanaonga sana walevi ndiyo tungesema wana nidhamu mbaya ya fedha, kama Mtu anunui nguo mara kwa mara na viatu na simu, na anaishi kwenye Nyumba ya gharama ya chini mtu kama huyo anakua hana nidhamu na pesa?
Well said mkuu.
Unakuta mwalimu ana watoto kede wa kede yaani ni wengi kama njugu, halafu anajifanya anajua sana kuisaidia familia yake na ukoo Kwa ujumla, pia kama ana simu kubwa utakuta kila siku anaunga MB's za 5,000 kila siku ukimwambia atumie VPN atakushangaa sana na kukuambia wewe siyo mzalendo.
 
Wanasiasa hasa wa chama kijani wanawatumia walimu kama toilet paper wakimaliza wanawatupa kwenye dustbin
 
Fikra zako ni finyu, huwezi kurupuka ukanunua trekta mwaka mmoja, lazima uanze kwa kuwekeza kidogokidogo, unalima alizeti, ufuta , mbaazi nk. Pia unanunua mazao na kuweka stock. Sio kutegemea mshahara huohuo tu.
Pole sana mwalimu Kwa kujipa moyo
 
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka.

3.Madeni mtaani na benki.
4.Kuvizia chakula cha wanafunzi wa bweni ili siku ipite.
5.Kuwa wachafu nywele walikuwa hawachani,soksi zimetoboka, viatu vimetoboka, nguo zenye viraka lukuki.

NB: Serikali iwahurumie walimu kwa kuwaongezea mshahara kazi wanayofanya ni kubwa.
Walimu wa Tanzania ni viumbe wapumbavu sijawai kuona ...matatizo yao mengi ni yakujitakia na kujitengenezea
 
Back
Top Bottom