Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

pazuri ila ubaya wa wachawi ni hofu ya nyama iliyotumika,,maana wao kutwa kushinda makaburini,,wanyama wao mbwa kunguru ..mtu mpaka unaogopa kuila
 
poleni walimu....hao wanakijiji hawawahitaji. Badilisheni vituo ila muwe mnamwomba sana Mungu sababu nguvu za Mungu na damu ya Yesu ina nguvu kuliko uchawi.
 
Duh hiii hatareee!!! Hata wachawi kumbe wanajua walimu ni wife material!!!
Walimu mko juu!!!!
 
Dah hyo ndio sehem ya kuishi aisee maharage yanakuwa nyama? duh kakini mim napita tu, kumbe wachawi sio watu wabaya kama ninavyisikia, wanahuruma sana ukizingatia maisha ya walimu yalivyo basi wanaaumua kuwasaidia ila kulala nje wamependa tuu ndani joto
 
ni kweli hata mimi bado najifanyia utafiti kuona kama ziko sawa au la!
 
Utata upo hapo kwenye kuingiliwa kimwili,je kama mimi ni "me" atakuja mchawi "ke" au "me"?ikiwa jinsia zinaheshimiwa itakuwa poa sana hapo lakini kama chawi mende hapo hapafai!

Kwa hiyp mgegedp wa mchawi kama unazingatia jinsia unauunga mk0n0?
 
Kiranga atawaona hao walimu wana msongo wa mawazo tu!!

Bongo doctor to population ratio ni 1:30,000

Uki dive down kwenye mental health professionals unaweza kufika 1:300,000 or even worse.

Mtoni kitu kidogo tu washakuagua sijui una schizoprenia, mara una bipolar disorder, mara una manic depression, mara una anxiety, mara psychotic, mara una anorexia, mara bulimia etc, mradi magonjwa ya akili kibao.

Kwetu mpaka uokote makopo ndo unajulikana, ushawahi kusikia mbongo kawa diagnosed na depression kwetu?

Watu wanaweza kuwa wamefukuzwa na wenye nyumba walizopanga kwa kukosa kulipa kodi, kwa sababu mshahara haufiki hata tarehe 45 ya mwezi, wakaona walale nje, kitu cha kwanza utakachosikia hata kabla ya uchunguzi wowote ni uchawi.
 
walimu wanakutana na majanga mengi hasa vijijini ndio maana wengi wao wakipangiwa vijijini hukikimbia na tatizo la upungufu wa walimu vijijini hautaisha, ila wachawi ni watu wa ajabu walimu wapo kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao waelimike badala ya kuwasuport na kuwapa moyo wenyewe wanafanyia vituko.
 
Yaap kije kimwari kichawi kinataka nikigegede ,nakigegeda tu!

Hahahahahahahaha🙂 Mkuu kila siku nikiona picha ya KIGAGURA aliyedondoshwa toka katika CHOMBO CHA ANGA chake naona ni VIZEE TUUU!!!!! I doubt kama VIMWARI wanaruhusiwa kwenye hizi safari za MIGEGEDO!!!! Utaishia kugegeda BI MKORA!!!!!:smile-big:
 
Yale maumbo ya mtaani tu,wakiwa kazini wanakuwa wari wale !
 
Duh huyo mchawi ningemjua ningemuomba awe ananibadilishia nyama!sometimes yakitimoto,mbuzi,na samaki pia.!nijinsi gani serikali yetu haiwajali walimu mpaka wachawi wanaamua kuwabadilishia mlo, wachawi endeleeni na moyo huo huo wa huruma::
 
Shida ni pale atakapo kugegeda
 
Walimu wa shule ya msingi Shigala wilaya ya Busega mkoani Simiyu wamejikuta wamelala nje wa nyumba zao kutokana na vitendo vya kishirikina!

Walimu hao wameeleza kuwa mara kadhaa wamekuwa wakikutwa na vituko kadhaa! '' unaweza ukala ugali na maharage au mrenda lkn tukiamka asbh tunakuta mifupa ya nyama mezani'''

Mara kadhaa unaweza kuwa unapika maharage na upo hapo hapo jikoni wakati umefunikia na yanachemka ukifunua baada ya muda furani uangalie kama yameiva unakuta yamegeuka kuwa nyama!

Kama hiyo haitoshi mwalimu analala peke yake usiku lkn akiamka anajikuta ameingiliwa kimwili (anajikuta alikuwa kwenye ngono usiku).

Walimu wamegoma kufundisha wanasubir hatima yao.

Wadau kama ni wewe ndo yanakukuta ungefanyaje?

waandamane.
 
Back
Top Bottom