Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Maharagwe kuwa nyama, ni nyama ya mbuzi, swala ama ya mtu, hebu weka wazi tujuwe maana walafi wanafurahia tu pasipo kujua nyama gani!
 
Hawaniwezi! Si rahisi kama unavyofikiria!

Hata hao walikuwa wana imani kama yako ila mwisho wa siku wanalalamika kuwa wanaliwa vichuri.So we endelea kutamba tu
 
walimu wa shule ya msingi Shigala wilaya ya Busega mkoani Simiyu wamejikuta wamelala nje wa nyumba zao kutokana na vitendo vya kishirikina! Walimu hao wameeleza kuwa mara kadhaa wamekuwa wakikutwa na vituko kadhaa! '' unaweza ukala ugali na maharage au mrenda lkn tukiamka asbh tunakuta mifupa ya nyama mezani'''
mara kadhaa unaweza kuwa unapika maharage na upo hapo hapo jikoni wakati umefunikia na yanachemka ukifunua baada ya muda furani uangalie kama yameiva unakuta yamegeuka kuwa nyama!
Kama hiyo haitoshi mwalimu analala peke yake usiku lkn akiamka anajikuta ameingiliwa kimwili(anajikuta alikuwa kwenye ngono usiku). Walimu wamegoma kufundisha wanasubir hatima yao.
Wadau kama ni wewe ndo yanakukuta ungefanyaje?

ndio mambo ya Busega.
Kuna taarifa pia zilizodhibitiswa na polisi leo hii kuwa katika mji mdogo wa Nyamikoma km chache kutoka Shigala majira ya saa sita mchana wanawake wawili wamechomwa moto kwa tuhuma kuwa ni washirikina na inasemekana waume zao walikimbia na walikuwa wanafahamika hivyo ikatokea tafarani na kufanya wanaume wote kukimbilia waliokua na wasiwasi vijiji vya jirani vya Mwaburugu, Lamadi na Mwasamba hadi muda huu. Mimi ni mwl pia katika eneo hili hila watu kutoka Kaskazini hatuna amani kupangwa ndani ya maeneo haya.
 
Wachawi wa kileo hao! Yaani anakula vitu alafu anakuachia nyama!
Wajaribu kuchoma mahindi, wanaweza kuta wamewekewa mkuu wa meza, japo wachawi wa kizamani wanaiogopa hii kitu
 
Kiranga atawaona hao walimu wana msongo wa mawazo tu!!
 
Last edited by a moderator:
ndio mambo ya Busega.
Kuna taarifa pia zilizodhibitiswa na polisi leo hii kuwa katika mji mdogo wa Nyamikoma km chache kutoka Shigala majira ya saa sita mchana wanawake wawili wamechomwa moto kwa tuhuma kuwa ni washirikina na inasemekana waume zao walikimbia na walikuwa wanafahamika hivyo ikatokea tafarani na kufanya wanaume wote kukimbilia waliokua na wasiwasi vijiji vya jirani vya Mwaburugu, Lamadi na Mwasamba hadi muda huu. Mimi ni mwl pia katika eneo hili hila watu kutoka Kaskazini hatuna amani kupangwa ndani ya maeneo haya.

Acha uoga dogo,piga kazi wewe unalialia unadhani JF ni Gaka wa kukuhamisha.
 
daaa natamani na mm ningekuwa mchawi wa huko...unawaingilia tu kimwili walimu kama unanawa vile
 
inawezekana hizo nyama wanazokuta ni za watu
wakimbie hao maisha kwanza kazi baadae
 
Tujifunze sayansi ya afrika jamani.Ni nzuri sana wala haiitaji mahabara zakufanyia experiments yaani ni full mautundu.
 
Hao wachawi noma sana kwamaana wanaona hawa walimu wanafundisha watoto wao alafu anakula maharage kwahiyo wanawapa losto la nyama du
 
Mtu anaamua kukuletea nyama basi anakupenda sana lakini hili la kuingiliwa na kulala nje hapo sjui labuda Simiyu yetu atusaidie!!

nadhani kuingiliwa kimapenzi ni powa pia, si unapata uroda wa bure!!!!,? ila hawajasema kama hata wanaume wanaingiliwa ama la, hapo itakuwa noma, ila kama mwanaume naye anakuta ameroweka hakuna mbaya, ni amaraha tu.
 
Wachawi wa kileo hao! Yaani anakula vitu alafu anakuachia nyama!
Wajaribu kuchoma mahindi, wanaweza kuta wamewekewa mkuu wa meza, japo wachawi wa kizamani wanaiogopa hii kitu

kumbe mkuu wa meza hua anaogopewa na wachawi.Daah! Umenikumbusha mbali sana..
 
Back
Top Bottom