Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

kama uabandika maharage unakuta nyama basi hapo pazuri

from dsc07052.jpg to DSC03125.JPG
 
Ushirikina na imani potofu Ndio matokeo yake hayo.
 
kama uabandika maharage unakuta nyama basi hapo pazuri
Utata upo hapo kwenye kuingiliwa kimwili,je kama mimi ni "me" atakuja mchawi "ke" au "me"?ikiwa jinsia zinaheshimiwa itakuwa poa sana hapo lakini kama chawi mende hapo hapafai!
 
Dah..kweli kuna watu mafundi..hivi sababu hasa ya hao wachawi kufanya visa hivyo ni nini?
 
Hao maticha ni vegeterian nini? Naona wanalalamikia nyama labda watueleze kidogo nyama wanayoletewa inakuaga ya nini.
 
hiyo y akufunika maharage halafu yanageuka kuwa nyama ndo bab kubwa sanaaaaaaa....yaani hawa wanaweza kubadili barabara za vumbi zikawa lami tupu? na zile nyumba za kule dodoma kwa le mutuz zikageuka kuwa magorofa kama dubai...aaaah Tanzania weee nakupenda sana nchi yangu

nitafurahije? askari wa kagame wachanganyikiwe wafanane na sisimizi kazi yetu itakuwa ni kuwakanyaga tu!
 
Mi naomba hao wataalamu wa Cmiyu waje huku moshi na Arusha watuletee Big results now ya kugeuza maharagwe nyama.
 
mh! kumbe ni wasukuma, mnashangaa nini? Simiyu ni bariadi, meatu, maswa. kuna siku utkuwa mbwa na kuanza kubweka hovyo mtaani.......
 
wapi simiyu yetu.daaah mtu unapika maharage unakuta yamegeuka nyama hii raha sana,mmh lakini hili jingine ndiyo zito unalala unaamka wamekufanya tena
 
kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe

Hapo kwenye red unaweza kutupa vifungu vya biblia kuthibitisha uyasemayo?
 
kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe
Tatizo mkiambiwa vitu mnameza kavu kavu bila hata maji, unaona sasa ulivyoaibika! Eti simon petro alikuwa mchawi.
 
Walimu wa shule ya msingi Shigala wilaya ya Busega mkoani Simiyu wamejikuta wamelala nje wa nyumba zao kutokana na vitendo vya kishirikina!

Walimu hao wameeleza kuwa mara kadhaa wamekuwa wakikutwa na vituko kadhaa! '' unaweza ukala ugali na maharage au mrenda lkn tukiamka asbh tunakuta mifupa ya nyama mezani'''

Mara kadhaa unaweza kuwa unapika maharage na upo hapo hapo jikoni wakati umefunikia na yanachemka ukifunua baada ya muda furani uangalie kama yameiva unakuta yamegeuka kuwa nyama!

Kama hiyo haitoshi mwalimu analala peke yake usiku lkn akiamka anajikuta ameingiliwa kimwili (anajikuta alikuwa kwenye ngono usiku).

Walimu wamegoma kufundisha wanasubir hatima yao.

Wadau kama ni wewe ndo yanakukuta ungefanyaje?

najiuliza kama waliweza kula nyama badala ya maharage, vp afya zao maana wanaweza wakawa wameambukizwa na magonjwa ya Zinaa
 
Back
Top Bottom