Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe
--------------------------
Mkuu naomba unipe haya inayoonyesha Simon Petro alikuwa mchawi.

Kuna mchawi alikuwa anitwa Simon siyo Simon Petro umechanganya madesa.

Amechanganya kati ya Simon Petro mwanafunzi wa Yesu- huyu hakuwa mchawi. Yule Simon wa kitabu cha Matendo ya Mitume ndio alikuwa Mchawi. Anyway wengi huwa tunangoja wahubiri watusomee biblia.
 
ndio mambo ya Busega.
Kuna taarifa pia zilizodhibitiswa na polisi leo hii kuwa katika mji mdogo wa Nyamikoma km chache kutoka Shigala majira ya saa sita mchana wanawake wawili wamechomwa moto kwa tuhuma kuwa ni washirikina na inasemekana waume zao walikimbia na walikuwa wanafahamika hivyo ikatokea tafarani na kufanya wanaume wote kukimbilia waliokua na wasiwasi vijiji vya jirani vya Mwaburugu, Lamadi na Mwasamba hadi muda huu. Mimi ni mwl pia katika eneo hili hila watu kutoka Kaskazini hatuna amani kupangwa ndani ya maeneo haya.

Wewe hawajawahi kukula?
 
Off topic, samahani: Watu wa Busega kwa anayejua, Sanduku La Posta (S.L.P) la Halmashauri ya wilaya (Busega) ni ngapi???
Msaada tafadhali.
 
kama uabandika maharage unakuta nyama basi hapo pazuri

Mkuu utalishwa nyama za misukule wewe! Tena usithubutu! Haya mambo ndo yanaturudisha nyuma huko kwetu! Hatuna hamu hata ya kwenda kusalimia ndugu na jamaa kutokana na huu upuuzi!! Busega hata Anna Abdallah walishamla kwa mtindo huo, kesho yake akaenda kwa mwalimu analia anaomba uhamisho, chezea Busega wewe! Inanikumbusha miaka ya 80 mwalimu wetu Mkuu alikuwa mnoko sana akaja akahamishiwa shule moja inaitwa Bukandwe. Jamaa wakamjia usiku wakamtoa yeye na familia yake wakamweka kwenye uwanja wa mpira na lundo la mabua ya mtama mabichi (tunayaita magaghi), acha watafune magaghi wakidhani ni miwa! Asubuhi kunakucha wakajikuta wako uwanjani na lundo la bagasse! Walimu punguzeni unoko!!
 
Kama haya mambo ni kweli, kwanini tusiwatumie wachawi wetu kwenye mambo ya kimaendeleo wawe wanatusaidia magonjwa ya milipuko, kilimanjaro stars ishiriki kombe la dunia(sio kulibeba yaani ifikie hatua ya kushiriki tu), hata kimataifa tuwe tunawasaidia kwa tatizo tata mfano kama ndege ikipotea vile nk

Pole yangu iwaendee walimu wote waliopatwa na balaa hilo
 
Haya mambo ni ya ajabu sana utakuta walimu wanaofanyiwa haya si wenyeji wa maeneo hayo wametoka mbali kwa sababu wenyeji hawawasomeshi watoto wao kwa ajili ya mambo yao ya uchawi!wapeni waalimu ushirikiano kuwaondolea watoto wenu ujinga vinginevyo mtabaki nyuma milele.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
tuacheni utani kwenye mambo kama haya inasikitisha sana
 
Kama ni Mimi nahama kivyanguvyangu. Siwezi kufundisha watoto ambao wazazi wao hawako tayari kufundishiwa watoto zao.
 
Mh si wakaibe hela za wabunge ambazo wanakula tuu jasho la walipa kodi kuliko kumtesa mwl ambaye anawafundisha mitoto yao
 
unawatumikiwa waliokupeleka au hao wazazi?

Mkuu Nawatumikia walionipeleka nakubaliana nawewe 100% lakini linapokuja swala la kuvunjiwa mayai kunako 071xxxxxxx inabidi tu kujiongeza kivyakovyako. Wakati unaingiliwa kimazingara ya ushirikina hao waliokupeleka wanakula bata mjini. Kutumikia sio lazima sehemu naweza kujiongeza sehemu nyingine nikafungua Tuition center bado nitakuwa najenga taifa hilihili.
 
huo ni ukanda anako tokea Andrew Chenge. wilaya za Magu, Ukerewe na Misungwi ktk mkoa wa Mwnza ni noma
 
Kama wanasali kwanini walazwe nje na wachawi?

hujui lolote umekaririshwa na wachungaji wanao kuambia ukiokoka hauwezi kurogwa. wewe na hao wachungaji wako nani aliye na imani kumuzidi AYUBU?.
 
Back
Top Bottom