Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

Mkuu wao wa wilaya ni shemeji yenu! Ngoja atushuhudie nae!
Nitarudi
 
he kumbe we ni chizi!humu huwa hakuna kutukanana ndugu au wewe ni mmoja wapo uliebakwa na popo bawa huko?
 
Mambo ya ulozi hayo...si waigeuze Tanzania iwe kama Marekani basi
 
Wachanganye na zao, waksubr ushaur itaendelea kula kwao lakn wanatakiwa waokoke kwa mungu hakuna jambo gumu.
 
kilaza wewe ucgawi upo, hata simon petro alikuwa mchawi kabla hajawa mtume, mbulula wewe, qe muumin wa rwakatare wewe
--------------------------
Mkuu naomba unipe haya inayoonyesha Simon Petro alikuwa mchawi.

Kuna mchawi alikuwa anitwa Simon siyo Simon Petro umechanganya madesa.
 
kwani hao walimu ni wakristo au waislamu!?kama wakristo walage kitimoto na kulala na mifupa yake na kula mmea kama waislamu wanywage gongo na kuvuta mmea wachawi hawasogei kamwe...wachawi mtujuze kama nadanganya
 
Kivumbi ni hapo pakupigwa miti je ni kwa w/me w/ke au vp?
 
Hiyo teknolojia poa sana,inabidi ianze kutumika hadi kwenye masherehe mnabandika masufuria ya maharage yanageuka nyama watu wanapiga mpunga !!
 
hiyo y akufunika maharage halafu yanageuka kuwa nyama ndo bab kubwa sanaaaaaaa....yaani hawa wanaweza kubadili barabara za vumbi zikawa lami tupu? na zile nyumba za kule dodoma kwa le mutuz zikageuka kuwa magorofa kama dubai...aaaah Tanzania weee nakupenda sana nchi yangu
 
SIMIYU KWETU unahitajika haraka sana uje utoe ufafanuzi juu ya jambo hili. Atayesikia tangazo hili amjulishe popote alipo mwambieni anahitajika huku
 
hiyo y akufunika maharage halafu yanageuka kuwa nyama ndo bab kubwa sanaaaaaaa....yaani hawa wanaweza kubadili barabara za vumbi zikawa lami tupu? na zile nyumba za kule dodoma kwa le mutuz zikageuka kuwa magorofa kama dubai...aaaah Tanzania weee nakupenda sana nchi yangu

Na gambushi si ipo huko, na nasikia ni nzuri kama New York. Labda Simiyu Yetu aje atoe ufafanuzi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom