Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
Wana Jf.
Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa chini.
Ndugu mwalimu: Katika somo au masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A,B,C wala D, mwandae katika kiwango cha F kwasababu hata akipata A juhudi zako ni sawa na bure. HII NDIO SILAHA YETU YA MWISHO. Tuma msg hii kwa walimu wengine.
Nimepokea msg hii ambayo imeonekana kusambazwa kwa kasi kwa walimu wengi mana nimeipata kutoka kwa walimu tofauti tofauti.
Haya sasa KAZI IMEANZA je dhaifu atakubali kutusikiliza au kwa silaha hii pia atakwenda mahakamani?!