Walimu wa Vyuo vya Utabibu kuweni na mpangilio

Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95
Walimu wa vyuo hasa hivi Vyuo za utabibu jaribuni kuwa na mpangilio mzuri wa ufundishaji maana kuna baadhi ya wanafunzi wanakua wanarudi nyumbani kutokona na mpangilio mbaya wa mtaala na ratiba ndani ya chuo.
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,062
2,000
Wanafunzi wa karne hii baadhi yao vichekesho, Mwanafunzi tena wa chuo kwenye dunia hii ya utandawazi unalalamika mwalimu kutofundisha au kutokuwa na mpangilio?

Internet ipo, learning sites zipo nyingi vitabu ndio usiseme lakini bado unalalama tu ambae ana changamoto za kielimu asemaje?

Aisee kazi ipo kwa style hii.

yule mwanafunzi wa la 4 B kule Nangurukuru/Namtumbo/Nanjilinji ndanindani mwenye changamoto za kielimu asemaje.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom