Walimu wa Tanzania, hebu tazama hapa

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000
diploma mwalimu 325000,afya 682000,kilimo na ufugaji 1133600,sheria 871500
degree mwalimu 469200,afya 802200,kilimo na ufugaji 1354000,sheria 1166000
JE UKO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA? Tafakari
 
hili siko tayari kabisa kwani hivi kuna tofauti gani kikazi kati ya mwalimu anaye deal na afya ya akili za watu na bwana mifugo anaye deal na afya ya mifugo?

pia nataka niju hivi hzi pesa za mishahara serikali huwa inatoa wapi? kama ni kwa wafadhili najua haitowezekana kubadilika kwani wafadhili hawataki sisi tuelimike.ili waendelee kututawala ila kama ni za kodi basi hatukubali.

wito wangu waalim wote mlioko humu jf tuungane na tutumie waalim wengine hii sms ili kuandaa mgomo wa kitaifa ambao hadi kieleweke
 
una uhakika unacho kinena rudi na vithibitisho salary slip then tujadili maana naona harufu ya uongo
 
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000
diploma mwalimu 325000,afya 682000,kilimo na ufugaji 1133600,sheria 871500
degree mwalimu 469200,afya 802200,kilimo na ufugaji 1354000,sheria 1166000
JE UKO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA? Tafakari

kusomea cheti: mwalimu miaka 2, muuguzi miaka 4.
Muda wa kazi wa mwalimu: fixed,j.tatu hadi ijumaa saa1:30 mpaka 9:30 jioni, muda wa kazi ni j.tatu hadi j.pili asubuhi mchana usiku.
Sitaki kuzumgumzia mazingira hatarishi ya kazi mf. Kujichoma na sindano, kurukiwa damu, kupigwa na wagonjwa wa akili,.....
 
waalimu si uwa nasikia wanapozwa na hela ua sensa na kugawa tshirt za ciciem wakati wa uchaguzi???
"AULIMU NI WTO JAMANI"
 
kusomea cheti: mwalimu miaka 2, muuguzi miaka 4.
Muda wa kazi wa mwalimu: fixed,j.tatu hadi ijumaa saa1:30 mpaka 9:30 jioni, muda wa kazi ni j.tatu hadi j.pili asubuhi mchana usiku.
Sitaki kuzumgumzia mazingira hatarishi ya kazi mf. Kujichoma na sindano, kurukiwa damu, kupigwa na wagonjwa wa akili,.....

muuguzi cheti anasoma miaka 2 pia,diploma miaka 3,
 
kusomea cheti: mwalimu miaka 2, muuguzi miaka 4.
Muda wa kazi wa mwalimu: fixed,j.tatu hadi ijumaa saa1:30 mpaka 9:30 jioni, muda wa kazi ni j.tatu hadi j.pili asubuhi mchana usiku.
Sitaki kuzumgumzia mazingira hatarishi ya kazi mf. Kujichoma na sindano, kurukiwa damu, kupigwa na wagonjwa wa akili,.....

Hapo kwny muda wa Mwalimu kutoka na kuingia kazini paangalie upya.
Hilo la Wauguzi kusoma miaka 4 nalo si kweli. Fanya uchunguzi
 
kusomea cheti: mwalimu miaka 2, muuguzi miaka 4.
Muda wa kazi wa mwalimu: fixed,j.tatu hadi ijumaa saa1:30 mpaka 9:30 jioni, muda wa kazi ni j.tatu hadi j.pili asubuhi mchana usiku.
Sitaki kuzumgumzia mazingira hatarishi ya kazi mf. Kujichoma na sindano, kurukiwa damu, kupigwa na wagonjwa wa akili,.....
kujichoma sindano ni sawa na kula unga wa chaki.
-kurukiwa na damu=na kumwagikiwa na tindikali maabara wakat unaandaa practical
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake
 
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake.
-kufanya kazi kwa mwalimu kuna kikomo?????hakuna kikomo,maana mwalim wa boarding anapumzika LINI????
 
Nlishawai kuanzisha thread hapa ingawa haikupata mchango wowote bt nilitaka kumaanisha kitu cha namna hii.Nlisema kama ningekuwa na pa kwenda ningesht kaz niliyo nayo.Nlitoa sababu.Kwa hapo ju,ongezea na inferiority complex a.k.a haiba kama cyo physcological torturing.WE UNADHANI KWA figure izo mwl.hatatoka kweli?Najuutaa...Bt th tm z comin&'ll tell. JW,JKT,MIGRAT.unaweza kuwa na data zao mku?
 
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000
diploma mwalimu 325000,afya 682000,kilimo na ufugaji 1133600,sheria 871500
degree mwalimu 469200,afya 802200,kilimo na ufugaji 1354000,sheria 1166000
JE UKO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA? Tafakari

WAKO TAYARI, UALIMU NI WITO SIO MSHAHARA. Halafu mkuu angalia hapo juu neno lililopigiwa mstari....!
 
Kazi kwelikweli... hapa ndo pa ma GREAT THINKERS:A S crown-1:
kujichoma sindano ni sawa na kula unga wa chaki.
-kurukiwa na damu=na kumwagikiwa na tindikali maabara wakat unaandaa practical
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake.
-kufanya kazi kwa mwalimu kuna kikomo?????hakuna kikomo,maana mwalim wa boarding anapumzika LINI????
 
May be tofauti inatokana na ukweli kwamba kazi ya ualim haina risk ya ushindani ktk kutafuta kazi (almost direct employment), na fani ya ualim imewekwa as a lee way kwa waliofeli au wanao ogopa ushindani wa kutafuta kazi, unlike fani zingine nyingi.
 
Toa ujinga wako hapa, ukilaza wake ndio unamfanya awe mwalimu....walimu wengi unaowaona wako huko kutokana na matokeo yao mabovu ya darasani.....ha ha ha ha.......... Basi aende akasome sheria kama atadahiriwa chuoni....nenda sasa..wana zero cut off point.
 
kujichoma sindano ni sawa na kula unga wa chaki.
-kurukiwa na damu=na kumwagikiwa na tindikali maabara wakat unaandaa practical
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake

we **** huyo anayedondokewa na chaki ni sawa na anayerukiwa na damu yenye virus/au sindano yenye virusi acha kufikria kutumia makalio..mwalim hana rish yoyote ya kumfanye afe...sawa we tahira
 
Back
Top Bottom