Walimu wa secondary, Manispaa ya Ilala (Dar es salaam), msaada tafadhali.

Walimu wa secondary, Manispaa ya Ilala (Dar es salaam), msaada tafadhali.

Hao wanaokutajia hizo shule za downtown as if unapata ukizihitaji,Shule za town zote zimejaa otherwise utoe mpunga,ingekua enzi za mkwele shule za pemben walikua hawaban.Saiv hata shule za pemben wanabana Sana.Kwa manispaa ya Ilala jiandae kwenda shule Kama mvuti,msongola,mbondole,mkera,sangala,kitonga,zingiziwa nk kifupi ukanda WA chanika.
Relax, nitaenda shule nnayoihitaji mie ndo maana naulizia hata Azania kama nitapenda nitaenda
 
Back
Top Bottom