Walimu wa secondary, Manispaa ya Ilala (Dar es salaam), msaada tafadhali.

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
69,776
136,982
Habari za usiku JF....

Naomba kusaidiwa na wahusika hapo juu, naulizia Shule ya serikali iliyopo Ilala ambayo haibani sana watumishi kwa maana kuwa baada ya kutekeleza na kukamilisha majukumu, unaweza kuingia mtaani kwa ajili ya kuangalia angalia yaliyomo, iwe maeneo ya mjini mjini sio nje ya mji.

Tafadhali nina shida unaweza kunipa information hata kwa pm... Nitashukuru nikipata taarifa kutoka kwa wahusika.
 
Unahama arusha?, karibu dar, kama umemkimbia mla rambirambi aka bashite wa arusha huku utakutana na bashite original yule wa koromije
 
Shule za prevent znabana sana watumish kumbe

Za serikali naoga watumish wao wanapga misele daily
Yan co mchana wala ucku
 
Ngoja waje maticha watoe uzoefu kamili! Changamoto ni umbali kati ya shule na unapoishi,usafiri dar ni hovyo sana japo mwendo kasi imetuokoa kiasi
 
Am a bilology teacher do you want a reproduction topic?just pm I will do it practically evelynsalt.
 
Nenda BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIGH SCHOOL hapo amna kubaniwa utakutana second master Mr JOEL but jitahd uwe na kigar ata cha kuzugia maana mateacher pale wanashindana ndinga 2
 
Nenda BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIGH SCHOOL hapo amna kubaniwa utakutana second master Mr JOEL but jitahd uwe na kigar ata cha kuzugia maana mateacher pale wanashindana ndinga 2
Ipo maeneo gani? Ina o'level na A'level?
 
Hao wanaokutajia hizo shule za downtown as if unapata ukizihitaji,Shule za town zote zimejaa otherwise utoe mpunga,ingekua enzi za mkwele shule za pemben walikua hawaban.Saiv hata shule za pemben wanabana Sana.Kwa manispaa ya Ilala jiandae kwenda shule Kama mvuti,msongola,mbondole,mkera,sangala,kitonga,zingiziwa nk kifupi ukanda WA chanika.
 
Back
Top Bottom