Kawaida tu ila waturekebishie na sisi wazoefuVipi mkuu imekuuma sana eeh? Au hutaki watu wawe na kipato kizuri kumudu ukali wa maisha na gharama zake?
Tofauti ni ndogo ila heri hafifu kuliko sifuriTGTS D4 ni shilingi ngapi? D1,D2,D3,D4 unajua wanapishana shilingi ngapi?.Mkuu tuache kwanza tuko na Vaccine huku Habari ya mishaara subiri kwanza, wangevushwa madaraja sawa ila kama madaraja ni yale Yale chapa kazi subiri daraja uende E.
Nyie mliotangulia kuanza kazi mna previlege nyingi.Hiyo 30 Hisitengeneze matabaka.Tofauti ni ndogo ila heri hafifu kuliko sifuri
TGTS D4 ni shilingi ngapi? D1,D2,D3,D4 unajua wanapishana shilingi ngapi?.Mkuu tuache kwanza tuko na Vaccine huku Habari ya mishaara subiri kwanza, wangevushwa madaraja sawa ila kama madaraja ni yale Yale chapa kazi subiri daraja uende E.
Kuna 20 TGTS C na 30 TGTS D chapa kazi ipende jamii yako kataa Vaccine.Weka na bei yake yaani ni sawa na laki ngapi?
Kawaida tu ila waturekebishie na sisi wazoefu
Kuna 20 TGTS C na 30 TGTS D chapa kazi ipende jamii yako kataa Vaccine.
Kama maelekezo yametoka mwaka huu, nyie hayatawahusu.Ajira mpya wenye shahada kwa walimu wa science wameanza na ngazi ya mshahara wa TGTS D3.
Wakati wale walio kazini tangia mwaka 2014 bado wako ngazi ya mshahara TGTS D1. Kwenye utumishi kwa kawaida mwenye uzoefu anatakiwa awe ngazi ya juu kuliko mgeni ila hii ya sasa hivi imekuwa pindua pindua.
Utumishi kuna shida gani?
Privilege kama zipi?Nyie mliotangulia kuanza kazi mna previlege nyingi.Hiyo 30 Hisitengeneze matabaka.
Unazijua taratibu za utumishi wa umma?Nyinyi uzoefu wenu upo katika kuisaidia CCM kuiba kura wakati wa uchaguzi tu, So if you are not happy with salary you are getting, employ yourself or go to HELL and present this nonsensical claims. Mwalimu gani unawaonea wivu wa kishamba wenzio!!!
Kuna vitu huwa vinafanyika mpaka unajiuliza uwezo wa kiakili wa watu wa wizaraniKwani nchi hii ina uongozi?.. ina utopolo tu!.. KUANZIA Rais wao hadi madiwani wanabwabwaja tu ili waonekane kwa TV!.. soo stupid!.
Kwenye swala la mshahara hakuna kitu kama hicho.Kama maelekezo yametoka mwaka huu, nyie hayatawahusu.
Usinichukie "law cannot act retrospective"
Ngoja nikueleweshe kwa lugha nyepesi.Jadilini mlio kwenye hizo ajira, wengine tupo tunawa-zoom tu alafu hata hatujui hayo maD1 ,D2,nk