Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

Hakuna shule ya kata haina mwalimu wa sayansi serikali hii miaka muwili imewapangia walimu moja kwa moja shule kutokana na uhitaji na tarifa zilizopo Tamisemi kwaiyo kama kuna shule haina mwalimu wa somo la sayansi wakuanza ulizwa ni afisa elimu na mkuu wa shule uyo mwalimu kaenda wapi maana hawaruhusiwi kuhama hao walimu
Kuna shule Ina wanafunzi zaidi ya 1500 tena ipo mjini,Haina hata mwalimu Mmoja wa Hesabu
 
Back
Top Bottom