Walimu wa english naomba msaada kidogo hapa.

Walimu wa english naomba msaada kidogo hapa.

Always sio verb ni adverb of frequency (HOW OFTEN THE ACTION IS DONE) so kanuni ni zile zile kwenye simple present tense nafsi ya tatu umoja (he,she,it,juma,ana) tutaongeza (es/s/) kwnye verb..
Kwahiyo jibu ni (always she reads a calendar)

Kwa msaada wa kujifunza tense kwa gharama nafuu njoo inbox..
Usipoelewa basi nakurudishia Hela yako
Hapo ulipoweka 'a' ndio imekaa sawa kwa vile hakuna pronoun. Grammatical inabd iwepo hio 'a'

Sina uhakika lkn
 
Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo.

ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa

always, she.......calendar.

mwalimu anasema jibu ni "read" yaani inabaki original verb kwa sababu ya uwepo wa neno always mwanzoni mwa sentensi. Kwa kukazia anasema ukiona maneno kama often, normally,everyday, n.k mwanzoni mwa sentensi basi inabaki original verb.

Je ni sahihi?
Unaweza kuta ni mwalimu wa field enzi hizo bhn nilikuwa nikiwaogopa walimu wa field kumbe mtu anashinda njaa chuoni akija kwetu vitisho majigambo utadhan sio yeye

mwambie aache kupotosha wanafunzi jibu ni READS coz ni kitu kinachojirudia mara kwa mara
 
Huyo mwalimu itakua alikua kajisahau,'Always'ni miongoni mwa adverbs zinazoonyesha how often,the/a particular action is done.Grammatical rule inabaki vilevile kua 'immediate verb' ambayo inatokea mbele ya NOUN(mfano;Dr.Bush,Asenga,Dr.Tinah,,Edina)au PRONOUN(He,she,it)lazima iambatane na suffixes mojawapo kati ya hizi zifuatazo;ies,s,au es kwa kutegemeana na verb husika kwenye SIMPLE PRESENT TENSES.
 
Back
Top Bottom