Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,495
Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo.
ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa
always, she.......calendar.
mwalimu anasema jibu ni "read" yaani inabaki original verb kwa sababu ya uwepo wa neno always mwanzoni mwa sentensi. Kwa kukazia anasema ukiona maneno kama often, normally,everyday, n.k mwanzoni mwa sentensi basi inabaki original verb.
Je ni sahihi?