Walimu ulieko mkoa wowote wa kaskazini na unahitaji kuja Newala-Mtwara.

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,319
2,000
kama uko mkoa wowote wa kaskazini na maeneo ya jirani kama arusha, manyara, kilimanjaro, tanga, singida, dodoma, na mara tuwasiliane. Hakikisha ni sehemu ambayo naweza kusafiri na kufika Arusha siku hiyohiyo. Jitokeze tuwasiliane.
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,244
2,000
wasalimie ndugu zangu wa Newala, Nawanda, na maeneo yote ya halmashauri...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom