Naam. Tuache kubweteka na shikamooBinafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanaotoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.
Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.
ChaiJapo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi,
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Punguza ujuaji Kwa usiyoyajuaChai
MpwaYungu analilia tu, iwapo yeye ni mr.toto's kutoboa mwiko😂😂😂mpwayungu njoo uku
Yeye kasema chai kwani shida nn?Punguza ujuaji Kwa usiyoyajua
Kama yapi?Punguza ujuaji Kwa usiyoyajua
Labda Mwalimu wa MadrasaJapo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Kaimbe kaswida sw"kutoboa kimaisha" ndiyo nini maana yake?
Huyu ni mwalimu mstaafuJapo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Salio not less than 100m lakini gari lake ni Noah. Daah. Hiyo 100M inakuwa maintained na nyumba 2 za kupanga huku Kikuyu Kenya. Aisee?Wacha bwana!!
Kufanikiwa,ana maanisha"kutoboa kimaisha" ndiyo nini maana yake?