Walimu tuliomaliza 2018 tunatengwa sana kwenye ajira

Honorable GPA

Senior Member
Mar 31, 2019
149
223
Sijui kwanini yaani!

Jamani,Lol!

Ajira za mwaka jana(2019) tuliambiwa tusiombe kabisa! Mwisho ilikuwa walomaliza 2017!

Mwaka huu(2020) tuliambiwa tuombe! Ajira zimetoka lakini waloajiriwa wengi ni physics/mathematics na wachache sana wa masomo mengine!

Chuo chetu sidhani kama yupo ambaye hana physics au hesabu aliyeajiriwa! na vyuo vingine hali ndio hiyo!

Najiuliza ni kwanini sisi walimu wa 2018 tuna tengwa sana kwenye hizi ajira?

Ni vema serikali ituambie kuliko kuwa tunapoteza muda kila siku kuomba bila mafanikio!

Kama hatuitajiki pia tuambiwe! Lol
 
Ajira hz n za ajabu marafik zangu wote Tanzania zma masomo yote hakuna aliyepata...had wale wa kujitolea haf tunahs ktu ngojaa tunaendelea kufatilia km ilikuwaa n spam au hamna
 
"Watanzania hatima ya maisha yenu iko mikononi mwenu ".Tundu Lisu.
 
Nilisha sema siku chache zimepita kwamba serikali ya CCM haina pesa ya kuajiri walimu au watumishi wakada za kutumikia moja kwa moja umma, pesa yote ilitumiwa kuwalipa Askari na wanajeshi pamoja na foreigners wakati ule wa uchaguzi. Wanajinasibu wametoa ajira, hawafiki hata 6000 walio ajiriwa hiyo document yenye kurasa 195 ni geresha tu maagizo yamekwisha tolewa huko halmashauri...

Better tuwe wakweli tu.
CCM chama changu, nasema uongo ndugu zangu.?
 
Ajira zipo around 8000 lakini katibu alisema ajira zipo 13000 hata mimi nashindwa kuelewa kwakweli!
Labda wangezitoa zote na sisi tuliomaliza 2018 tungekuwemo!
 
serikali ya kubana matumizi inaajiri cheap labor haitaji walimu wa degree wana mishahara mikubwa
 
Back
Top Bottom