kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 687
TUCTA+CWT=CCM
Sina mashaka kwamba hisabati za juu kabisa[advanced pure mathematics] ulipata A.
Uko vizuri,ulivyo derive hiyo integral hadi kufikia jibu umetisha..
Sina mashaka kwamba utakua mkufunzi wa hesabu vyuo vikubwa kabisa duniani kama MMU.