Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
kuacha sio tija,dawa ni kuwaibia muda wao unapiga mishe zako,mimi sina shida nao nakomaa na ualimu na mambo yangu yanaenda kama kawaida,....kma una hitaji mbao(mti wa griveria) kwa bei ya jumla ni pm niko lushoto.
Hahahahaha huo ni wizi, unapolipwa kwa kazi usiofanya ni wizi